Headlines News :
Showing posts with label MAN UTD. Show all posts
Showing posts with label MAN UTD. Show all posts

Friday, July 17, 2015

BANITEZ AMBAKISHA RAMOS REAL MADRID : ASEMA HAUZWI

Sergio-Ramos-25
Sergio Ramos
Sakata la usajili wa beki wa kimataifa wa Hispania na klabu ya Real Madrid, Sergio Ramos leo asubuhi limechukua nafasi tena kwenye headlines za vyombo habari ulimwenguni kwa ishu nyingine tena.
Ramos ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa akihusishwa na kujiunga na Manchester United, amegoma kusaini mkataba mpya na klabu yake ya Real Madrid.
Ila wakati kukiwa na taarifa kwamba United inajiandaa kutuma ofa mpya ya paundi millioni 42 kwenda Madrid, leo hii asubuhi kocha mpya wa Real, Rafael Benitez amesema kwamba mchezaji hatohama katika klabu hiyo msimu.
Rafa1-600x398
Rafael Benitez
Benitez ameyaongea haya mbele ya waandinshi wa Habari leo >>>> “Sergio yupo katika sehemu muhimu ya timu yangu, ni mshindi ni aina ya wachezaji wa namna hiyo tu ndio tunaohitaji… Ninachojali mimi ni kauli ya Rais kwamba mchezaji huyu atabaki kwenye klabu hii, nimeshaongea na Ramos kwa kirefu kuhusu hatma yake na mawazo yake“>>>>
“Ramos ni professional, anafanya kila kinachohitajika na kile anachoelekezwa na benchi la ufundi” >>> Hii ni kauli nyingine ya Benitez.

Thursday, July 16, 2015

KUMBE LOUIS VAN GAAL NA VICTOR VALDES HAZIIVI? SOMA BEEF LAO HAPA

Ndani ya masaa 72 tu mahusiano mazuri kati ya golikipa wa Manchester United Victor Valdes na kocha wa timu hiyo Louis Van Gaal yamevunjika, tofauti kati yao ilianza wakati Valdes alipogoma kucheza kikosi cha wachezaji wa akiba.
Maswali yalianza kutawala baada ya Valdes kuenguliwa na David de Gea kujumuishwa kikosini licha ya kuhusishwa pia na story kwamba ana mpango wa kuihama klabu hiyo, katika kikosi kilichosafiri na timu kwenda Marekani kwa maandalizi ya msimu mpya.
Valdes ameachwa na timu na wengi walianza kudhani labda kaachwa sababu ya majeruhi kabla ya Van Gaal kufichua ukweli katika kikao na waandish wa habari jumatano hii Marekani.
Lakini sasa majibu kamili ya nini kimetokea kati ya wawili hao kimejulikana, Van Gaal amemuacha Valdes kwa sababu hataki kufuata falsafa zake hivyo ni mtovu wa nidhamu na hana nafasi katika kikosi chake.
“hafuati falsafa zangu, hivyo hakuna nafasi ya mtu kama huyo”>>> Van Gaal
Van Gaal anamtuhumu Valdes kwa utovu wa nidhamu baada ya kukataa kucheza mechi na kikosi cha wachezaji wa akiba akiba msimu uliopita. Kufuatia mvutano huo Valdes kuna uwezekano mkubwa wa kutoendelea kuvaa jezi ya Manchester United msimu ujao.
Valdes alijiunga na Man United january 2015 kama mchezaji huru akiwa amemaliza mkataba wake na klabu  ya FC Barcelona.

Saturday, August 9, 2014

TETESI ZA SOKA ULAYA

Manchester United have offered Real Madrid
£55m for winger Angel Di Maria. (Daily
Express).
United will try to sign former Arsenal
midfielder Alex Song from Barcelona if they fail
to buy Chile star Arturo Vidal from Juventus
(Daily Express).
Manchester City are on the verge of
announcing the signing of defender Eliaquim
Mangala from Porto (Daily Mail).
Borussia Dortmund say they are determined to
keep hold of Arsenal, Liverpool and Man
United target Marco Reus (Metro).
Tottenham striker Roberto Soldado is wanted
by Atletico Madrid on loan (Telegraph).

Friday, July 11, 2014

ROBBEN AMLIZA MWANAE

ALIYEKUWA NAHODHA WA MUDA WA UHOLANZI BAADA YA ROBIN VAN PERSIE KUTOKA JUZI ALIMLIZA MTOTO WAKE UWANJANI BAADA YA KUTOLEWA NA KUTOENDELEA NA FAINALI HIZO MJINI BRAZIL KWA KUFUNGWA KWA NJIA YA PENALTI AMBAZO ZILIISABABISHIA UHOLANZI KUWA NJE YA MICHUANO HIYO. AIDHA MTOTO WA ROBBEN AMBAE ALIKUA UWANJANI HAPO AKIUSHUHUDIA MTANANGE HUO DHIDO YA ARGENTINA AKIONGOZANA NA MAMA YAKE ALISHUHUDIWA AKIMWAGIKA MVUA YA MACHOZI HUKU BABA YAKE AKIMNYAMAZISHA NA KUMFARIJI.

Wednesday, July 9, 2014

GOLI LA VAN PERSIE LATENGENEZEWA SARAFU

Sarafu ya ukumbusho wa goli la kichwa la Van
Persie lililoisababishia ushindi timu yake ya
Uholanzi limewekwa kwenye sarafu iliyouzwa
ndani ya saa moja baada ya kuwekwa sokoni.
Van Persie alifunga goli hilo wakati timu yake
ilipokutana na Hispania katika mechi
zinazoendelea za Kombe la dunia na kuzua
gumzo kubwa ambapo mashabiki walikuwa
wakifanya vitendo mbalimbali kuenzi goli hilo
lililoipa ushindi Uholanzi wa Bao 5-1.
Unaweza kuona kitu cha ajabu lakini ndio hivyo
wenzetu wanafanya hivyo ambapo kampuni
iliyopewa mamlaka ya kutengeneza sarafu
ilichukua picha ya kitendo kilichofanywa na
nyota huyo wa timu ya Manchester United Van
Persie wakati wa mechi ya ufunguzi wa makundi
mwezi uliopita.

Tuesday, February 18, 2014

"SASA TUNAKUJA" - JUAN MATA

JUAN_MATA-AON_JERSEY
JUAN MATA anaamini kuwa Manchester United itamaliza Ligi Kuu England Msimu huu ilikwemo 4 Bora na hivyo kufuzu kucheza UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao.
Kwa sasa, Man United, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa England, wapo Nafasi ya 7 wakiwa Pointi 11 nyuma ya Liverpool ambao wapo Nafasi ya 4 ambayo ndio ya mwisho kwa Timu kuchezea UCL Msimu ujao.
Lakini Juan Mata, Mchezaji wa Kimataifa wa Mabingwa wa Dunia Spain aliehamia Man United kutoka Chelsea Mwezi Januari kwa Dau la Rekodi ya Klabu la Pauni Milioni 37.1,
amesisitiza Kikosi chao kinachocheza chini ya Meneja David Moyes ni kizuri kushindana na Klabu yeyote huko England.

MAN UNITED-Mechi hadi mwisho wa Msimu:
[Zote Ligi Kuu England isipokuwa inapotajwa]
Feb 22: Crystal Palace v Man United
Feb 25: Olympiakos v Man United [UCL]
Machi 8: West Brom v Man United
Machi 16: Man United v Liverpool
Machi 19: Man United v Olympiakos [UCL]
Machi 22: West Ham v Man United
Machi 25: Man United v Man City
Machi 29: Man United v Aston Villa
Apr 5: Newcastle v Man United
Apr 12: Man United v Hull
Apr 19: Everton v Man United
Apr 26: Man United v Norwich
Mei 3: Man United v Sunderland
Mei 11: Southampton v Man United
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Mata amesema: “Sasa tunakuja na nadhani tunaweza lakini inabidi tushinde Gemu nyingi! Lengo ni kufikia nafasi za UEFA CHAMPIONZ LIGI!”
Mata aliongeza: “Ni ngumu kwa sababu Liverpool wanafanya vyema, pia Arsenal, pamoja na Tottenham na Everton, wote wanapigania nafasi hizo lakini tunayo Timu ambayo inaweza kufanya hilo! Hii ni Manchester United. Klabu hii ikishinda Mechi mbili, tatu au nne ni kwa sababu ina fikra za ushindi!”
Akiongea kuhusu David Moyes, Mata, mwenye Miaka 25 na ambae yeye pamoja na Kikosi chote cha Man United walikuwa huko Dubai kwa Mazoezi ya Siku 5 kwenye Hali ya Joto, amesema: “Uhusiano wangu na yeye ni mzuri na wa kirafiki. Tangu Siku ya kwanza alionyesha ni Mtu mwema. Alinifanya nijisikie muhimu. Nilijisikia vyema aliponambia: ‘Juan, wewe ni muhimu kwa Timu na tunataka umiliki Mpira kila mara!’ na hilo ndio najaribu kufanya!”
Vile vile, Mata alisema Moyes ataleta Wachezaji wengine wakubwa mwishoni mwa Msimu ili kuiibua upya Klabu.
Mata ameeleza: “Meneja amesema kuwa atasaini Wachezaji. Klabu hii sasa ipo kwenye hatua ya mpito, ya mabadiliko, na Klabu hii lazima Wachezaji bora watakuja!”

Monday, September 2, 2013

MANCHESTER UNITED YASAJILI JEMBE JIPYA


Manchester United imemsajili  kiungo wa Ubelgiji Marouane Fellaini kutoka Ligi Kuu ya wapinzani Everton kwa kwa dau la pauni milioni  27.5

Saturday, August 24, 2013

KWA WALE MASHABIKI WA MACHESTER UTD HII INAWAHUSU - RATIBA YA MECHI MSIMU MZIMA 2013/2014 EPL

Season: 2013-2014

Monday 26 August 2013
20:00 Man Utd v Chelsea Old Trafford  
This fixture was previously scheduled on Saturday 24 August 2013 at 15:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports
Sunday 1 September 2013
13:30 Liverpool v Man Utd Anfield    
This fixture was previously scheduled on Saturday 31 August 2013 at 15:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports.
Saturday 14 September 2013
12:45 Man Utd v Crystal Palace Old Trafford    
This fixture was previously scheduled on Saturday 14 September 2013 at 15:00 but was rescheduled due to live broadcasting on BT Sport.
Sunday 22 September 2013
16:00 Man City v Man Utd Etihad Stadium    
This fixture was previously scheduled on Saturday 21 September 2013 at 15:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports.
Saturday 28 September 2013
15:00 Man Utd v West Brom Old Trafford    
Saturday 5 October 2013
17:30 Sunderland v Man Utd Stadium of Light    
This fixture was previously scheduled on Saturday 5 October 2013 at 15:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports.
Saturday 19 October 2013
15:00 Man Utd v Southampton Old Trafford    
Saturday 26 October 2013
15:00 Man Utd v Stoke Old Trafford    
Saturday 2 November 2013
15:00 Fulham v Man Utd Craven Cottage    
Sunday 10 November 2013
16:10 Man Utd v Arsenal Old Trafford    
This fixture was previously scheduled on Saturday 9 November 2013 at 15:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports.
Sunday 24 November 2013
16:00 Cardiff v Man Utd Cardiff City Stadium    
This fixture was previously scheduled on Saturday 23 November 2013 at 15:00 but was rescheduled due to live broadcasting on Sky Sports
Saturday 30 November 2013
12:45 Tottenham v Man Utd White Hart Lane    
Tuesday 3 December 2013
19:45 Man Utd v Everton Old Trafford    
Saturday 7 December 2013
15:00 Man Utd v Newcastle Old Trafford    
Saturday 14 December 2013
15:00 Aston Villa v Man Utd Villa Park    
Saturday 21 December 2013
15:00 Man Utd v West Ham Old Trafford    
Thursday 26 December 2013
15:00 Hull v Man Utd The KC Stadium    
Saturday 28 December 2013
15:00 Norwich v Man Utd Carrow Road    
Wednesday 1 January 2014
15:00 Man Utd v Tottenham Old Trafford    
Saturday 11 January 2014
15:00 Man Utd v Swansea Old Trafford    
Saturday 18 January 2014
15:00 Chelsea v Man Utd Stamford Bridge    
Tuesday 28 January 2014
19:45 Man Utd v Cardiff Old Trafford    
Saturday 1 February 2014
15:00 Stoke v Man Utd Britannia Stadium    
Saturday 8 February 2014
15:00 Man Utd v Fulham Old Trafford    
Tuesday 11 February 2014
19:45 Arsenal v Man Utd Emirates Stadium    
Saturday 22 February 2014
15:00 Crystal Palace v Man Utd Selhurst Park    
Saturday 1 March 2014
15:00 Man Utd v Man City Old Trafford    
Saturday 8 March 2014
15:00 West Brom v Man Utd The Hawthorns    
Saturday 15 March 2014
15:00 Man Utd v Liverpool Old Trafford    
Saturday 22 March 2014
15:00 West Ham v Man Utd Boleyn Ground    
Saturday 29 March 2014
15:00 Man Utd v Aston Villa Old Trafford    
Saturday 5 April 2014
15:00 Newcastle v Man Utd St. James' Park    
Saturday 12 April 2014
15:00 Man Utd v Hull Old Trafford    
Saturday 19 April 2014
15:00 Everton v Man Utd Goodison Park    
Saturday 26 April 2014
15:00 Man Utd v Norwich Old Trafford    
Saturday 3 May 2014
15:00 Man Utd v Sunderland Old Trafford    
Sunday 11 May 2014
15:00 Southampton v Man Utd St. Mary's Stadium    
.
  • World News

     
    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger