Headlines News :

Wednesday, July 9, 2014

GOLI LA VAN PERSIE LATENGENEZEWA SARAFU

Sarafu ya ukumbusho wa goli la kichwa la Van
Persie lililoisababishia ushindi timu yake ya
Uholanzi limewekwa kwenye sarafu iliyouzwa
ndani ya saa moja baada ya kuwekwa sokoni.
Van Persie alifunga goli hilo wakati timu yake
ilipokutana na Hispania katika mechi
zinazoendelea za Kombe la dunia na kuzua
gumzo kubwa ambapo mashabiki walikuwa
wakifanya vitendo mbalimbali kuenzi goli hilo
lililoipa ushindi Uholanzi wa Bao 5-1.
Unaweza kuona kitu cha ajabu lakini ndio hivyo
wenzetu wanafanya hivyo ambapo kampuni
iliyopewa mamlaka ya kutengeneza sarafu
ilichukua picha ya kitendo kilichofanywa na
nyota huyo wa timu ya Manchester United Van
Persie wakati wa mechi ya ufunguzi wa makundi
mwezi uliopita.

  •  
    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger