Headlines News :

Sunday, May 12, 2013

SALAMU ZA LEO KWA WADAU

Fatima Zohar-Godabari.
Wanaume wenzangu tafuteni hela kwa bidii sana, zile zama za kuuza sura na kulambalamba lips zimeisha. Maisha ni magumu hayana shortcut, wengi wenu mnapenda tu Bata wakati hamna hela wala vyanzo sustainable vya mapato mnaishia kuliwa Kabaang kwa tamaa za maisha yasiyo yenu..
Wanawake wa kizazi hiki wamedamburikiwa mbaya, wanaangalia mtu mwenye upeo sio unaishi kama kichwani kuna uji wa ulezi, unashinda Gym kujazia misuli wakati Wallet imejaa Business Cards na Scratch Voucher, imetuunaaa kumbe Kapuku. Wanawake hawataki tena 6Packs wala 7Kilogram, wanataka uwe na hela na maendeleo wasikie japo harufu ya future. Unauza sura tu, Sura hata Chatu anayo, Ukiwa na hela hata 
Fatima Zohar-Godabari.
atakubali kuishi na wewe Zanzibar.
  •  
    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger