Amekuwa rafiki yako muda mrefu, mnaongea, mnacheka, someti mes
mnatoka Outing pamoja, una feelings nae lakini humwambii unadhani ataota
unampenda?? Yagujuuu!!! Unajichekesha chekesha tu muda wote, wenzio walio straight
wamemwambia live, wamempasukia wakamchukua, unamchukia, unaanza
kumsema vibaya kwamba hajali feelings, Feelings zipi?? Wewe umemtreat
kama rafiki hujataka kufunguka, naye amekuchukulia kama rafiki, kosa lake
ni nini?? Au ulijua yeye ni malaika kwamba atajua lililomo moyoni mwako???? Ndugu zangu, Wanawake kwa Wanaume, Fungukeni, zile zama za kuekti
muvi, unampenda mtu unaugulia tu ndani kwa ndani zimepita. Mwambie ujue
moja, akikataa ujue la kufanya, utajifaragua unapoteza muda wajanja
watamfungukia pwaaah wanamnyakua utabaki unalia.. Ukipenda Sema ili
Upone!
SHARE NA MARAFIKI KAMA UMEIPENDA HII!