Headlines News :

Wednesday, April 25, 2012

WALE VIPANGA WA HESABU NAOMBENI JIBU LA SWALI HILI!





VIPANGA WA HESABU NAOMBENI JIBU!
Umetoka na safari zako wakati unarudi unapitia duka la nguo karibu na home, unakuta nguo ambayo unatokea kuipenda na nguo yenyewe inauzwa Tzs 10,000/=  ukawa hauna pesa ukaamua kukopa kwa kaka sh. 5000 na kwa dada Tzs 5000, ukanda kwa dukani kununua na kutokana na uswahili ulivokujaa ukaamua ku-bargain ile nguo ukauziwa kwa Tzs 9700/= akakurejeshea chenji yako Tzs 300/=
Ukaona ni vyema upunguze deni ukampa dada Tsh.100/= na kaka Tzs 100 na wewe ukabakiwa na Tzs 100/= , ikawa dada anakudai Tzs 4900/=  na kaka Tzs 4900/= , ukijumlisha Tzs 4900 + 4900 = 9800/= Tzs ukijumlisha na ile Tzs 100 uliyobakiwa nayo inakuwa 9900 Tzs …
SWALI, Jee ile mia (Tzs 100)  ya kutimiza ile Tzs 10,000/= imekwenda wapiii???

DUH! WAKALIMANI WENGINE BALAAA!

MKALIMANI NA MHUBIRI (PREACHER ) WAKIWA KANISANI 


PREACHER: My name is Doctor Living Stone
Mkalimani:      Jina langu ni mganga wa jiwe linaloishi
PREACHER: And I am coming from Johnesburg
Mkalimani:      Na ninatoka katika Mfuko wa Yohane
PREACHER:  I am a preacher
Mkalimani:      Mimi ni Mchicha
PREACHER:  You know today is sunday
Mkalimani:      Leo ni siku ya jua
PREACHER:  And i want to give you a story
Mkalimani:      Na nitaka kuwapa Mtori
PREACHER:  Jesus is Messiah
Mkalimani:      Yesu ni Mmasai
PREACHER:  And Jesus is about to come back
Mkalimani:      na Yesu anakaribia kuja nyuma
PREACHER:  And is coming with the Holy spirit
Mkalimani:      na anakuja na roli la sprite
PREACHER: Is coming with the holy spirit
Mkalimani:      Anakuja na roli la sprite
PREACHER:  Thank you and goodbye
Mkalimani:      Asante na ununuzi mwema

Monday, April 16, 2012

MIONGONI MWA MASWALI AMBAYO MAJIBU YAKE HUWA YA OVYO.


MASWALI AMBAYO YANA MAJIBU YA OVYO!

     Jibu : No, nafanya mazoezi ya kufa 
2...Anapiga simu ya mezani home then anauliza "uko wapi?" 
      Jibu: Nipo msikitini 
3...Unampelekea Girlfriend wako zawadi ya maua then anauliza "hayo ni maua?" 
     Jibu : No, ni mchicha. 
4...Upo toilet na mlango umefunga then anakuja kugonga mlango huku ana uliza "kuna mtu?" 
     Jibu: No, hakuna...unaongea na m*vi 
 5...Upo kwenye jumba la sinema una nunua tiketi then anauliza "una nunua tiketi ya sinema?" 
      Jibu: No, nalipa ada ya shule....
Mtu ndo anavotaka ajibiwe kama hivii , Ila angalia na unayemjibu! 

Thursday, April 12, 2012

UCHAGUZI WA RAIS NA KATIBU WA ZIFASO - ZIFA - ZANZIBAR

HONGERA KWA MR. MOH'D ABDULLAH SAID KWA KUTEULIWA KUWA RAIS MPYA WA SERIKALI YA WANAFUNZI KWA MWAKA 2012/2013 CHUO CHA UONGOZI WA FEDHA - CHWAKA - ZANZIBAR PAMOJA NA MAKAMO WAKE WA RAIS NDG ABDUL RASOUL DAUD SAMBAMBA NA NDUGU ISSA HAJI ROZZO KWA KUTEULIWA KUWA KATIBU MPYA WA ZIFASO Inshallah Mungu akusaidieni kwenye majukumu ya kutuongoza kwa amani na ushirikiano Picha tembelea na

Mwalimu atandikwa viboko, kisa?

Mwalimu atandikwa viboko, kisa? Atuhumiwa kuwa mshirikina
  • World News

     
    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger