VIPANGA WA HESABU NAOMBENI JIBU!
Umetoka na safari zako
wakati unarudi unapitia duka la nguo karibu na home, unakuta nguo ambayo
unatokea kuipenda na nguo yenyewe inauzwa Tzs 10,000/= ukawa hauna pesa ukaamua kukopa kwa kaka sh.
5000 na kwa dada Tzs 5000, ukanda kwa dukani kununua na kutokana na uswahili
ulivokujaa ukaamua ku-bargain ile nguo ukauziwa kwa Tzs 9700/= akakurejeshea
chenji yako Tzs 300/=
Ukaona ni vyema upunguze deni ukampa dada Tsh.100/= na kaka Tzs 100 na wewe ukabakiwa na Tzs 100/= , ikawa dada anakudai Tzs 4900/= na kaka Tzs 4900/= , ukijumlisha Tzs 4900 + 4900 = 9800/= Tzs ukijumlisha na ile Tzs 100 uliyobakiwa nayo inakuwa 9900 Tzs …

SWALI, Jee ile mia (Tzs
100) ya kutimiza ile Tzs 10,000/= imekwenda
wapiii???