Thursday, April 12, 2012
UCHAGUZI WA RAIS NA KATIBU WA ZIFASO - ZIFA - ZANZIBAR
HONGERA KWA MR. MOH'D ABDULLAH SAID KWA KUTEULIWA KUWA RAIS MPYA WA SERIKALI YA WANAFUNZI KWA MWAKA 2012/2013 CHUO CHA UONGOZI WA FEDHA - CHWAKA - ZANZIBAR PAMOJA NA MAKAMO WAKE WA RAIS NDG ABDUL RASOUL DAUD
SAMBAMBA NA NDUGU ISSA HAJI ROZZO KWA KUTEULIWA KUWA KATIBU MPYA WA ZIFASO
Inshallah Mungu akusaidieni kwenye majukumu ya kutuongoza kwa amani na ushirikiano
Picha tembelea na