Jibu : No, nafanya mazoezi ya kufa
2...Anapiga simu ya mezani home
then anauliza "uko wapi?"
Jibu: Nipo msikitini
3...Unampelekea Girlfriend wako zawadi ya maua then anauliza "hayo ni
maua?"
Jibu : No, ni mchicha.
4...Upo toilet na mlango umefunga then anakuja kugonga mlango huku ana uliza "kuna mtu?"
Jibu: No, hakuna...unaongea na m*vi
5...Upo kwenye jumba la sinema una nunua tiketi then anauliza "una nunua tiketi ya
sinema?"
Jibu: No, nalipa ada ya shule....
Mtu ndo anavotaka ajibiwe kama hivii , Ila angalia na unayemjibu!