Headlines News :

Thursday, February 20, 2014

HADITHI YA UPENDO

>>>>> SOMO LA LEO 13 <<<<<<

YALIYOTOKEA  <3 VALENTINE DAY <3  LEO

Hapo zamani Mwanake mmoja alie ishi  KINYEREZI , sikumoja akiwa anatoka Ndani kwake aliona wazee watatu walio simama nje kidogo karibu kabisa ya mlango wa nyumba yake , aliwasogelea karibu na kuwaambia " Siwafahamu wazee wangu lakini ,mwaweza karibia Hata ndani tupate chai ? ni asubuhi saahizi " ilikua mida ya saa nne hiv ...

"Mumeo yupo Ndani ?' waliuliza . akajibu "Hapana " hayupo ametoka kidogo " wazee wale walijibu kwapamoja kua " Basi kama hayupo sie hatuwezi kuingia Ndani kwakweli "

Jioni ilipo Fika ,mumewe alipo Rudi ,Mwanamke alimpokea na kumwambia kilicho tokea kuwa kuna Hao nwazee watatu wanakusubiri Toka Asubuhi Wapo Hapo njee Hawajasogea sana sana wanapiga STORY tuh . Mumewe alimwambia Nenda Kawambie nimesha fika Nyumbani Teyari wanaweza kuingia ndani nipoo...!! 

Mwanamke alitoka njee akaenda kuongea nao wale wazee ili waweze kuja Ndani . Alipo fika aliwakaribisha wazee walee Kwapamoja walimjibu " Daima sisi Hatuwezi kuingia Ndani ya Nyumba Yeyote Wote Watatu " 

Mwanamke ndipo alipo Uliza " Kwanini Hamuwezi Ingia Ndani Kwangu Kwa Pamoja Ili Hali Mmekaa Njee Toka asubuhi saa Mbili Hadi jioni Kaja Mlie Mtafuta Hamtaki pia Kuingia wote ?" Aliuliza akitaka kujua Mwanamke yule..

Mzee Mmoja alijitolea kujibu swali lile " Mmoja kati ya Hawa wazee Kwa jina anajulikana kama  " UTAJIRI" alisema huku akumunyoosjhea kidole mzee mwenzie . Kisha akanyoosha kidole kwa mzee Mwingine Pia , Yule anajulikana Kwa Jina Kama "MAFANIKIO"  Na mimi najulikana kama "UPENDO" , Haya Mama waweza kwenda ndani uka yaongee na Mumeo Nani Unge Penda Aje Ndani Ya NYUMBA yako Jioni Ya LEO kisha uje Hapa Nje Utwambie ...!!

Mwanamke yule alienda ndani na Kumwambia Mumewe kinacho endelea huko njee, Mumewe alifurahiii sana kusikia Maneno aliyo ambiwa na Mkewe... alijibu " How Nicee " "Kwakua ni hivyoo basi Mke wangu wewe waona Tufanyeje ? mie naona Tumuite na kumruhusu ndani "UTAJIRI" alijibu huku akicheka na Kutabasamu ...

Mkewe Alikataa na Kumwambia " Mume Wangu Kwanini tusi Muite ndani na kumkaribisha MAFANIKIO" ? . Kulikua na Mjukuu wao ana wasikilizaa Kwa Mbali huku anajisomeaa, aliruka kutoka mezani na  kuwambia "Mie naona Tumuite ndani  Mzee "UPENDO" Nyumba Yetu Itajawa na Upendoo na Umojaa "

Kwa Pamoja walikubaliana na Kufuata Pendekezo La mtoto Huyo Mdogo , Baba alisikia akisema " Mama Watoto nenda Njee na Umkaribishe Mzee UPENDO " . mwanamke kwa kufuata Maagizo Yale alienda Njee na Kumkaribisha Mzee UPENDO , "Mzee UPENDO Karibu ndani ya Nyumba Yetu ."

Mzee UPENDO alipo amka na kuanza kuondoka na  Kuelekea Mlangoni Mwa Nyumba Ile mzee "UTAJIRI" na "MAFANIKIO" nao walisimama kuelekea Ndani Mwa nyumba ILe ...

Mwanamke Yule akiwa na Hali Ya Mshangao aliuliza "Nime mkaribisha Mzee UPENDO , inakuwaje na nyie Pia Mwaja na Mwanzoni Mlikataa kabisaa kuja wote ? " wazee wale watatu walijibu Kwapamoja " endapo ingetokea Ukamuita mzee MAFANIKIO au mzee UTAJIRI, sie wengine tungebaki nje , lakini Kwakua Umemuita mzee UPENDO , popote aitwapo/aendapo mzee UPENDO na sie tunaenda . NDUGU MSOMAJI NIYASEMAYO HAPA NDIO YATOKEAYO DUNIANI POPOTE PALIPO NA UPENDO NIAMINI MIMI LAZIMA KUTAKUWEPO NA MAFANIKIO NA UTAJIRI ... <3 HAPPY VALENTISES DAY KWENU <3 
admin wako ~Nelson Oppa~

Click LIKE & SHARE to inspire OTHERS♥

Hapo zamani Mwanake mmoja alie ishi huko Jang'ombe , sikumoja akiwa anatoka Ndani kwake aliona wazee watatu walio simama nje kidogo karibu kabisa ya mlango wa nyumba yake , aliwasogelea karibu na kuwaambia " Siwafahamu wazee wangu lakini ,mwaweza karibia Hata ndani tupate chai ? ni asubuhi saa hizi " ilikua mida ya saa nne hivi ...

"Mumeo yupo Ndani ?' waliuliza . akajibu "Hapana " hayupo ametoka kidogo " wazee wale walijibu kwapamoja kua " Basi kama hayupo sie hatuwezi kuingia Ndani kwakweli "

Jioni ilipo Fika ,mumewe alipo Rudi ,Mwanamke alimpokea na kumwambia kilicho tokea kuwa kuna Hao nwazee watatu wanakusubiri Toka Asubuhi Wapo Hapo njee Hawajasogea sana sana wanapiga STORY tuh . Mumewe alimwambia Nenda Kawambie nimesha fika Nyumbani Teyari wanaweza kuingia ndani nipoo...!!

Mwanamke alitoka njee akaenda kuongea nao wale wazee ili waweze kuja Ndani . Alipo fika aliwakaribisha wazee walee Kwapamoja walimjibu " Daima sisi Hatuwezi kuingia Ndani ya Nyumba Yeyote Wote Watatu "

Mwanamke ndipo alipo Uliza " Kwanini Hamuwezi Ingia Ndani Kwangu Kwa Pamoja Ili Hali Mmekaa Njee Toka asubuhi saa Mbili Hadi jioni Kaja Mlie Mtafuta Hamtaki pia Kuingia wote ?" Aliuliza akitaka kujua Mwanamke yule..

Mzee Mmoja alijitolea kujibu swali lile " Mmoja kati ya Hawa wazee Kwa jina anajulikana kama " UTAJIRI" alisema huku akumunyoosjhea kidole mzee mwenzie . Kisha akanyoosha kidole kwa mzee Mwingine Pia , Yule anajulikana Kwa Jina Kama "MAFANIKIO" Na mimi najulikana kama "UPENDO" , Haya Mama waweza kwenda ndani uka yaongee na Mumeo Nani Unge Penda Aje Ndani Ya NYUMBA yako Jioni Ya LEO kisha uje Hapa Nje Utwambie ...!!

Mwanamke yule alienda ndani na Kumwambia Mumewe kinacho endelea huko njee, Mumewe alifurahiii sana kusikia Maneno aliyo ambiwa na Mkewe... alijibu " How Nicee " "Kwakua ni hivyoo basi Mke wangu wewe waona Tufanyeje ? mie naona Tumuite na kumruhusu ndani "UTAJIRI" alijibu huku akicheka na Kutabasamu ...

Mkewe Alikataa na Kumwambia " Mume Wangu Kwanini tusi Muite ndani na kumkaribisha MAFANIKIO" ? . Kulikua na Mjukuu wao ana wasikilizaa Kwa Mbali huku anajisomeaa, aliruka kutoka mezani na kuwambia "Mie naona Tumuite ndani Mzee "UPENDO" Nyumba Yetu Itajawa na Upendoo na Umojaa "

Kwa Pamoja walikubaliana na Kufuata Pendekezo La mtoto Huyo Mdogo , Baba alisikia akisema " Mama Watoto nenda Njee na Umkaribishe Mzee UPENDO " . mwanamke kwa kufuata Maagizo Yale alienda Njee na Kumkaribisha Mzee UPENDO , "Mzee UPENDO Karibu ndani ya Nyumba Yetu ."

Mzee UPENDO alipo amka na kuanza kuondoka na Kuelekea Mlangoni Mwa Nyumba Ile mzee "UTAJIRI" na "MAFANIKIO" nao walisimama kuelekea Ndani Mwa nyumba ILe ...

Mwanamke Yule akiwa na Hali Ya Mshangao aliuliza "Nime mkaribisha Mzee UPENDO , inakuwaje na nyie Pia Mwaja na Mwanzoni Mlikataa kabisaa kuja wote ? " wazee wale watatu walijibu Kwapamoja " endapo ingetokea Ukamuita mzee MAFANIKIO au mzee UTAJIRI, sie wengine tungebaki nje , lakini Kwakua Umemuita mzee UPENDO , popote aitwapo/aendapo mzee UPENDO na sie tunaenda . NDUGU MSOMAJI NIYASEMAYO HAPA NDIO YATOKEAYO DUNIANI POPOTE PALIPO NA UPENDO NIAMINI MIMI LAZIMA KUTAKUWEPO NA MAFANIKIO NA UTAJIRI ... HAPPY VALENTISES DAY KWENU

>>>>> SOMO LA LEO 13 <<<<<<

YALIYOTOKEA  <3 VALENTINE DAY <3  LEO

Hapo zamani Mwanake mmoja alie ishi  KINYEREZI , sikumoja akiwa anatoka Ndani kwake aliona wazee watatu walio simama nje kidogo karibu kabisa ya mlango wa nyumba yake , aliwasogelea karibu na kuwaambia " Siwafahamu wazee wangu lakini ,mwaweza karibia Hata ndani tupate chai ? ni asubuhi saahizi " ilikua mida ya saa nne hiv ...

"Mumeo yupo Ndani ?' waliuliza . akajibu "Hapana " hayupo ametoka kidogo " wazee wale walijibu kwapamoja kua " Basi kama hayupo sie hatuwezi kuingia Ndani kwakweli "

Jioni ilipo Fika ,mumewe alipo Rudi ,Mwanamke alimpokea na kumwambia kilicho tokea kuwa kuna Hao nwazee watatu wanakusubiri Toka Asubuhi Wapo Hapo njee Hawajasogea sana sana wanapiga STORY tuh . Mumewe alimwambia Nenda Kawambie nimesha fika Nyumbani Teyari wanaweza kuingia ndani nipoo...!! 

Mwanamke alitoka njee akaenda kuongea nao wale wazee ili waweze kuja Ndani . Alipo fika aliwakaribisha wazee walee Kwapamoja walimjibu " Daima sisi Hatuwezi kuingia Ndani ya Nyumba Yeyote Wote Watatu " 

Mwanamke ndipo alipo Uliza " Kwanini Hamuwezi Ingia Ndani Kwangu Kwa Pamoja Ili Hali Mmekaa Njee Toka asubuhi saa Mbili Hadi jioni Kaja Mlie Mtafuta Hamtaki pia Kuingia wote ?" Aliuliza akitaka kujua Mwanamke yule..

Mzee Mmoja alijitolea kujibu swali lile " Mmoja kati ya Hawa wazee Kwa jina anajulikana kama  " UTAJIRI" alisema huku akumunyoosjhea kidole mzee mwenzie . Kisha akanyoosha kidole kwa mzee Mwingine Pia , Yule anajulikana Kwa Jina Kama "MAFANIKIO"  Na mimi najulikana kama "UPENDO" , Haya Mama waweza kwenda ndani uka yaongee na Mumeo Nani Unge Penda Aje Ndani Ya NYUMBA yako Jioni Ya LEO kisha uje Hapa Nje Utwambie ...!!

Mwanamke yule alienda ndani na Kumwambia Mumewe kinacho endelea huko njee, Mumewe alifurahiii sana kusikia Maneno aliyo ambiwa na Mkewe... alijibu " How Nicee " "Kwakua ni hivyoo basi Mke wangu wewe waona Tufanyeje ? mie naona Tumuite na kumruhusu ndani "UTAJIRI" alijibu huku akicheka na Kutabasamu ...

Mkewe Alikataa na Kumwambia " Mume Wangu Kwanini tusi Muite ndani na kumkaribisha MAFANIKIO" ? . Kulikua na Mjukuu wao ana wasikilizaa Kwa Mbali huku anajisomeaa, aliruka kutoka mezani na  kuwambia "Mie naona Tumuite ndani  Mzee "UPENDO" Nyumba Yetu Itajawa na Upendoo na Umojaa "

Kwa Pamoja walikubaliana na Kufuata Pendekezo La mtoto Huyo Mdogo , Baba alisikia akisema " Mama Watoto nenda Njee na Umkaribishe Mzee UPENDO " . mwanamke kwa kufuata Maagizo Yale alienda Njee na Kumkaribisha Mzee UPENDO , "Mzee UPENDO Karibu ndani ya Nyumba Yetu ."

Mzee UPENDO alipo amka na kuanza kuondoka na  Kuelekea Mlangoni Mwa Nyumba Ile mzee "UTAJIRI" na "MAFANIKIO" nao walisimama kuelekea Ndani Mwa nyumba ILe ...

Mwanamke Yule akiwa na Hali Ya Mshangao aliuliza "Nime mkaribisha Mzee UPENDO , inakuwaje na nyie Pia Mwaja na Mwanzoni Mlikataa kabisaa kuja wote ? " wazee wale watatu walijibu Kwapamoja " endapo ingetokea Ukamuita mzee MAFANIKIO au mzee UTAJIRI, sie wengine tungebaki nje , lakini Kwakua Umemuita mzee UPENDO , popote aitwapo/aendapo mzee UPENDO na sie tunaenda . NDUGU MSOMAJI NIYASEMAYO HAPA NDIO YATOKEAYO DUNIANI POPOTE PALIPO NA UPENDO NIAMINI MIMI LAZIMA KUTAKUWEPO NA MAFANIKIO NA UTAJIRI ... <3 HAPPY VALENTISES DAY KWENU <3 
admin wako ~Nelson Oppa~

Click LIKE & SHARE to inspire OTHERS♥
  •  
    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger