Hivyo
ni vyema kujitafakari na kujiangalia upya kwa kuangalia uhusiano wako
muhimu kwa Mungu, mume ama mke wako, watoto , ndugu, wafanyakazi
wenzako, na jamii nzima kwa ujumla KAMA UTAGUNDUA KUNA MAMBO ULIKUWA
UNAYAPUUZA NA KUONA NI MADOGO JIREKEBISHE KWASABABU YANAWEZA
KUKUSABABISHIA MATATIZO MAKUBWA KATIKA MAISHA,,, KWANI MDHARAU MWIBA
MGUU HUOTA TENDE . . . |