
kucheza naye sarakasi kitandani wakati baba na mama wameenda kazini. Natumaini utambariki na hatacheza tena sarakasi kama kawaida yake. Naombea pia wasio na mavazi. Tafadhali wabariki na wajalie nguo wanawake wote wasio na nguo hata kidogo ambao baba amejaza picha zao katika simu yake. Hakika Baba, nao pia wanahitaji nguo kujisitiri. Mwisho kabisa naomba umpe nguo na makazi ya kudumu yule mwanaume ambaye huwa anakuja kulala na mama wakati baba akisafiri kwenda nje ya mkoa kikazi, Amen!" Hakuna mtu alikula chakula siku hiyo mwanawani.
Patashikaaaaa la Nguvuuuuu!