Headlines News :

Friday, March 1, 2013

CHOMBEZO - FURAHA YA FACEBOOK.!

 CHOMBEZO - FURAHA YA FACEBOOK.!

Pembeni yangu alikuwepo mpambe wangu wa siku zote Fakih Juma  au Kakyfee kama ambavyo alijiita suti yake iliyokuwa imeendana na umbo lake dogo ilimfanya awe kama muigzaji mahiri kutoka Nollywood Nigeria huku pembeni ya malikia wangu Farha au Happy kama ambavo nilipenda kumuita, Farha alikuwepo shoga yake aliyeitwa Sherry  gauni lake refu lililoachia mgongo wazi lilikuwa limemfanya awe kama mrembo wa Tanzania aliyepata umaarufu kupitia tasnia ya maigizo Elizabeth Michael ama LULU, kifua chake kilichohifadhi hazina ya chuchu ndogo ndio kilimn’garisha zaidi.
Sitaki kuzungumzia kuhusu mimi na Farha lakini jinsi tulivyokuwa tunavutia waulize walohudhuria sherehe hiyo sitaki kujisifia baada ya sherehe fupi iliyofanywa na ndugu yake Farha ikiwa ni kupiga picha ya pamoja ya familia na kuvikana pete katika ukumbi wa Novelty Cinema ya  Wete - Pemba . “Mh! kaka utafaidi leo!” Fakih  alinin’gata sikio nikamjibu kwa tabasamu hafifu lililounga mkono hoja yake.
“Anakwambia nini huyo Fakih nyie wambea kweli” Farha alinambia huku ameangalia mbele ili asijulikane kama ananiambia kitu, sauti yake ilikuwa laini sana. MC au mkuu aliyekuwa akiongoza shughuli ile alikuwa akiitwa  Massoud Ali wengi walimwita Masu kama ambavyo amezoeleka kwa jina hilo naye alikua tayari ameusoma mchezo
“Naona bi harusi anamwambia mista wake jamani dear saa ngapi tunacheza mziki nina hamu ya kukuonyesha umahiri wangu” ukumbi wote ukaripuka kwa vicheko, hata Farha alicheka nikauona mwanya
wake.
“Mama yangu hivi ndo Farha wa fesibuku huyu mh!” nilishtuka sana maana huyu binti uhusiano ulianzia katika mtandao lakini leo alikuwa amependeza sana nilitamani nimrukie mdomoni lakini umati ulinipa uoga pia maadili ya nchi yetu na kisiwa bado hayakuwa yakiruhusu.
Wakati wa kucheza mziki sikutaka mtu amguse japo nilikuwa nimechoka lakini sikupumzika, vazi refu alilovaa halikufanikiwa kuficha hipsi na umbile lake la nyuma dah? jamani kuna watu wameumbwa ndo nilijisemea huku nikinesa naye taratibu midundo ya Celline Dion na zile za wasanii wanaoima nyimbo za rhythm & blues au R&B ukumbi ulichangamka sana . Leo mimi Hamad  nimeoa mh! siamini lakini asingekuwa amenibania mchezo ndoa angeisikilizia redioni huko au kwenye maigzo mambo ya kuoa mapema haya sio ishu kabisa!!! Nilijilaumu kwa uamuzi wa kuoa lakini sikuwa na namna yoyote ile Farha hakuwa tayari kwa penzi iwapo sijamuita mke.
“Fakih kawaambie hao ma MC tunataka kwenda kulala tumechoka” nilimwagiza Fakih  ambaye naye fasta akaenda kupeleka ujumbe, lengo langu hata yeye alilijua vizuri tu.
Kale kamchezoooo!!! Ambao wapemba husema kuingia ndani

Majira ya saa tatu na dakika takriban arubaini hivi  usiku gari ilisimama mbele ya hoteli kubwa  ya kisasa  “Pemba Clove Inn”, tulisindikizwa hadi kwenye chumba chetu kilichoandaliwa mahususi kwa ajili yetu kwa siku tatu mfululizo, fungate la kizushi. Dada yake na Farha nilimwona kama mzinguaji alivyoanza tena kupiga stori na Farha, hakika alikuwa anazingua maana wamekaa wote miaka kibao leo hii ndio anajidai anajua kuhamasisha. Dah! Fakih kama ninja vile akautegua mtego akamtoa huyo dada, nikampa ishara ya dole gumba yaani MIA.
“Tukaoge mpenzi” sauti tamu ya Farha ikapenya masikioni mwangu. Sikujibu kitu haraka haraka nikamwondoa lile gauni, taiti yake mh! kilichofuata bikini weweeee! juu kafungashia cheni mbili zenye rangi ya dhahabu kama bikini yake jamani huu uchokozi hivi waliompamba walijuaje napenda bikini na cheni za kiunoni, he!!! wazo la kuoga likapotea nilipoona “tatoo” kwenye chuchu zake kama zile za akina Irene Pancras Uwoya ama Oprah kama ambavyo wengi walikua wakimuita  pindi waangaliapo filamu zake anazocheza. Mh! kwani mie khanithi? hapana mie nimekamilika kabisa, kama vile ugomvi nikambeba (Usiniulize nguvu nilitoa wapi na kiafya changu hichi mgogoro cha kukopa au cha vidonge mkononi mana pumu ilikua hainiachi) nikamrushia kitandani duh! akatua kwa tumbo sehemu za nyuma zikawa zinaangaliana na macho yangu wewe ile mitikisiko niliyoiona haisimuliki sijui alifanya maksudi yule?? nikaona “tatoo” nyingine juu ya makalio yake imeunda alama “H” sikuwa na muda wa kujiuliza alimaanisha HAPPY au HAMAD . Mgongo wake ulikuwa laini sana hata kabla ya kuugusa huku cheni zake za dhahabu zikikizunguka kiuno chake laini. Mahamu yakanizidi nikashindwa kujizuia, Nikafumba macho nikamshukuru aliyeuanzisha mtandao wa kijamii wa facebook kwa kuniunganisha na binti huyu, sasa nilikuwa naenda kufaidi. Kwa hapo nilimpa pole maana yeye ametupatia mambo matamu kama haya halafu kwenye kufaidi hatumkaribishi, nilijichekea kimoyo moyo. Nikajongea kitandani mikono yangu ikawahi kumwingilia Farha kiunoni na yeye akafanya hivyo, kisha ndimi zetu zikakutana mh!! Mtoto ana midomo laini yule, nikamwachia mdomo wake nikaangukia kifuani nikazibugia chuchu zake, wacha mtoto aanze kulia nikasema ewalaaa!! Hapa hapa ndo udhaifu wake ulipo, ghafla akanigeuzia kibao na yeye akaniweka chini makucha yake yakaanza kunifinya nikahisi napigwa shoti, ulimi wake ulizagaa mara huku mara kule nikajikaza nisipige kelele mtoto wa kiume lakini hali ikawa ngumu nikaanza kuhema juu juu kama ambavyo inanijia ile pumu yangu ya kawaida , Farha akiwa hana chochote zaidi ya cheni kiunoni alitambaa hadi chini akawa ameniacha hoi kitandani akatulia katika vigae au taizi  kama mtu anayetaka kukata roho kisha akajiweka chali na kujitanua.mmnhhh  Bila shaka alikuwa ananiita sasa , nikasjisemea kimoyo moyo!!! Na mimi kwa hofu ya kumaliza hamu zangu hewani nikatii amri ile!!
Kama vile narukia dimbwi la maji kwa ajili ya kuogelea nikaruka juu juu kwenda pale alipokuwa Farha!!
“Puuuuu” kikasikika kishindo nikaanza kuhisi maumivu, Hamad  mimi nimeanguka kutoka kitandani kwangu tena kwa aibu dogo anasoma hapo mezani kanishuhudia mtu mzima “NILIKUWA NAOTA” ayaaaaa!! Huku chini palikuwa wima kabisa maana sina utaratibu wa kulala na nguo usiku. Dogo akawa amenikazia macho nikajidai simuoni nikarejea kitandani nikamlaani Farha na hiyo ndoto niliyoiota.
Nikachukua kisimu changu Nikaingia fesibuku nakuta status ya Farha “Never had a dream come true”
nikaona haya nikamchukia aliyeanzisha facebook, nikahisi kama alikuwa amejua kilichonitokea nika Log Out upesi ndio sasa hivi naingia tena!!!

“””NDOTO NYENGINE BALAA!!!!”””” 

  •  
    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger