windows phone 8 hii ni operating system iliyotengenezwa na microsoft inatumika kwenye simu za nokia, htc, samsung na huawei mpaka sasa. imekuja kumreplace windows phone 7 ambayo haikupokelewa vizuri na wateja. tofauti na android windows phone inatumia tiles badala ya icon design yake hii imeipa umaarufu sana.
android hii ni operating system iliyotengenezwa na google na inatumika na watengeneza simu zaidi ya 80 wachache wao ni samsung, htc, huawei, tecno, sony, lg na asus. hii inatumia icon tofauti na windows phone. pia ina homescreen ambayo unaweza kueka app zako unazozipenda. je ukitaka kununua simu ya windows phone uangalie nini?
its about people vs apps kitu kimoja kizuri kuhusu windows phone ni uwezo wake wa kukusanya watu wote unaowajua na kuwaweka pamoja na kukupa habari zao zote. kuna peoples hub ambayo inakua na list ya marafiki zako na kama wana acount za facebook, twitter, unaona habari zote kwenye contact bila hata kufungua app ya twitter au facebook. ukitoa peoples hub kuna feature kama kids corner ambayo ni simu ya mtoto ndani ya simu yako, hapa unachagua application, video, miziki ambayo unataka mtoto wako aone akishika simu ili kumzua asifanye vitu vibaya. pia kuna rooms ambayo inakua ni private area kati yako na watu unaowapenda kama mke wako na wakwe zako eneo ambalo mtashare location na kila kitu. haya na mambo mengi yanaifanya windows phone kua very strong kwenye upande wa watu.
one thing cool about android ni ina application nyingi sana. so far kuna application zaidi ya 700,000 wakati windows phone ina application 150,000 tu. hili linafanya vichwa vikubwa kama instagram kupatikana android na kukosekana kwenye windows phone.
so wakati unachagua simu uangalie mahitaji yako kati ya hivyo vitu viwili hapo juu.
its about microsoft vs google kuna msemo siku hizi kuwa hununui simu bali unanunua ecosystem. huu msemo ni sahihi kabisa kwani kila platform siku hizi ina apps zake ambazo ni exclusive kwao tu, hapa nitaelezea ecosystem inayopatikana kwenye android na windows phone. kupunguza ukubwa wa thread nitazimention tu kama utataka maelezo zaidi utacoment
- microsoft office(wp) vs quickoffice(android)
- search (bing search) vs search (google search)
- map (nokia,bing map) vs map (google map)
- video (hakuna) vs video (youtube)
- mail (outlook,hotmail) vs mail(gmail)
- cloud(skydrive) vs cloud (google drive)
- video chat(skype) vs video chat (hangout)
- gaming (xbox) vs gaming (hakuna)
hizi ni chache za muhimu so utaangalia ecosystem ipi unaipenda hapa nimeexclude apps za nokia maana ni special case.
its about design vs customization kama nilivoelezea hapo juu windows phone imekuja na design mpya kabisa ya tiles ambazo ni live zinakupa information papo kwa hapo hizi tiles huwezi kuzichange na kuweka customization kama android lakini unaweza eka design unayotaka. unaweza resize tiles zikawa kubwa, za kati au ndogo na pia unaweza ukachange skin.
andoid yenyewe ipo vizuri kwenye customization kuliko windows phone unaweza ukaieka home screen yako the way unavyopenda wewe. zipo launcher mbali mbali zenye themes tofauti tofauti kwa kazi hii. kwenye android pia kuna launcher ambazo zinakuwezesha kuweka themes za 3d ili kuwezesha wewe kufeel tofauti ukitumia simu
its about security vs freedom kwenye windows phone mpaka sasa huwezi kuroot simu wala kufanya hacking ya aina yoyote simu imefungwa kila kona hili linaongeza ulinzi kwenye simu yako hutaathiriwa na virusi wala malware wa aina yoyote device itakua salama lakini tatizo linakuja unakosa uhuru hutaweza kufanya vitu unavyotaka wewe. kwenye android unakua huru unaroot simu unaeka custom firmware unafanya vitu unavyotaka wewe lakini tatizo linakuja kwenye security android kuna malwares wengi wanaweza wasiwe virusi lakini vitu kama spyware na adware ni vigumu kuviepuka kwenye android.
its about productivity vs playing nafkiri hapa ndo pa muhimu zaidi panapozitenganisha hizi simu. kuwepo kwa microsoft office, skydrive, photobeamer, security kubwa, offline navigation na simu kuwa fasta kunaifanya windows phone kuwa nzuri kwa wafanya biashara kuliko android. kuwepo kwa HD games, na application mbali mbali kunaifanya android iwe simu nzuri ya kuchezea so hapa unatakiwa uangalie unahitaji nini je wewe unapenda kuchezea simu au unataka simu yako iwe productive? maana unaweza ukaenda windows phone then ukakuta games chache ukaanza kulalamika. na unaweza kuwa mfanya biashara ukaenda android ukaanza kulalamika betry na simu kuwa slow.
hayo ndio mawazo yangu kuhusu windows phone na android nikiwa kama mtumiaji ambaye nishatumia platform zote. pia kuhusu windows phone nimeongelea windows phone 8 na sio 7 better unaponunua simu ya windows phone ununue 8, kama huna uhakika ni vizuri uulize.
Tuesday, December 31, 2013
Friday, December 27, 2013
Thursday, December 26, 2013
A SAD LOVE LETTER ( YOU MUST READ)
Najua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu ninakupenda nilifanya yote unayotaka. Ulipodai kuwa ukitumia kondom hujisikii raha sikuogopa kuibeba mimba ya tatu nilikuambia fanya unavyotaka.
Nilifanya haya nikiamini kuwa nalinda penzi langu kwako!!!
Naumia sana leo unaponiita mkimi Malaya!!! Mjinga tena mshamba!! Hakika hujakosea maana nilikuwa Malaya katika chumba chako, chumba ulichonifanya utakavyo tena kila siku, huku jukumu la kukisafisha ukiniachia mimi, kweli nilikuwa mjinga sana kwa kukulilia hata pale ulipokuwa umenikosea waziwazi na nilikuwa mshamba kwa kuwa ni wewe uliyenifundisha kufanya mapenzi kwa kutumia kila kiungo cha mwili wangu.
Babaa si unajua nilianza uhusiano na wewe maziwa yangu yakiwa wima, mbona leo wanifukuza ukidai kuwa hunitaki kwa kuwa nina maziwa makubwa tena yamelala. Hukumbuki ni wewe uliyeyafanya hivi???
Unaniita mimi mchafu sasa unasahau kuwa ni wewe u mchafu zaidi yangu, au unasahau jinsi ulivyokuwa mchafu kupitiliza, uchafu wako ulitokana tamaa zako za kimwili tamaa zilizokufanya ulitake penzi langu hata nilipokuwa katika siku zangu!!!!! Hukuwa ukiuona uchafu huu ati leo waniita mchafu!!!
Wewe una usafi gani???
Babaa!!! Nakuandikia haya japo utayapuuzia lakini unaujua ukweli kuwa nilikupenda na wala sio kimakosa. Nilifanya yote uliyoyataka lakini hunilipi thamani yangu tena leo hii.
Unazuga kuwa u wa mjini sana!!! Unasahau kuwa ulikuwa unakosa hata pesa ya nauli nikawa nakupatia akiba yangu ya pesa za pedi nilizokuwa nimepewa na mama. Niliacha kulipa ada yangu nikakupatia pesa umnunulie mama yako dawa alipokuwa anaumwa, sijali sana hata kama ulinidanganya lakini nilifanya kwa mapenzi yangu kutoka moyoni.
Hivyo visichana vimekudanganyishia hayo mavazi yao kama viko uchi vile, macho yao ya wiziwizi yamekukamata unanisahau unasema ulipitiwa yaani ulinipenda bahati mbaya. Ulinipenda bahati mbaya???? Wakati ulikuwa unanililia, hivi kumbe machozi yako yalikuwa ya kunilaghai nashukuru umefanikiwa.
Lakini naomba nikwambie kitu kimoja babaangu, ulipoamua kujiingiza katika uhusiano na visichana vyako hivyo nilivumilia lakini siku nilipokufumania na yule rafiki yangu Jane mkifanya ngono makaburini niliumia sana, ni siku hiyo niliamua kujibu maombi ya yule rafiki yako Benard, siku hiyo nililala kwake, nilizini naye kwa hiari kwa lengo la kulipiza kisasi.
Kisasi kile hakikuyatuliza maumivu yangu, bado ulikuwa una nafaqsi katika moyo wangu!!! Penzi lako halikuwa na mrithi baada ya siku mbili nilipata hamu ya kuwa na wewe nikaja kwako. Tukafanya mapenzi bila hata kukukumbushia juu ya uchafu ulionifanyia.
Nadhani lilikuwa kosa kubwa, kama ninavyokuabdikia wewe barua hii usiyoipenda na mimi Benard aliniandikia na yeye aliandikiwa na Jane akadhani ni utani kumbe ni kweli tupu. Jane amethirika, amemwambukiza Bernard, Bernad kaniambukiza mimi halafu MIMI na JANE tumekuambukiza wewe.
Sikupenda iwe hivyo lakini na wewe sikulaumu!!!
Asante kwa kuisoma barua yangu, sina uhakika na maamuzi utakayochukua.
HASIRA . . . HASARA
Mshikaji kakosana na mpenzi wake, wamenuniana kama siku tatu hivi, mshikaji anaishi Amani Maata, binti anaishi Chukwani. Siku ya tatu jamaa akaamua amtumie SMS binti ya kumuomba msamaha yaishe warudiane. Akatuma SMS "Mpenzi kwa kweli nimekosa, nimejirudi naomba nisamehe yaishe". Akakaa kama dakika tano hajajibiwa SMS, akatuma ya pili. Akasubiri kama dakika kumi, hakuna jibu, akatuma ya tatu, ya nne na ya tano, zote kimya. Jamaa kwa hasira akaona binti anamdharau, akamwandikia SMS nyingine, "Ujue we mwanamke bwege sana, uzuri wenyewe huna, shepu hovyo, resepsheni ya kuunga unga, na bora tuachane tu, ndo maana natoka na rafiki yako Laila ananipa kila aina ya raha". Akaa kama dakika tano akaona kimya, akaamua apige amtukane vizuri, ile kupiga simu ikapokelewa na mtu mwingine akamwambia jamaa: "Kaka samahani huyu dada kaacha simu hapa kwenye chaji ametoka kama nusu saa imepita, ndo nampelekea simu kwake". Mshikaji akapagawa, akaanza: Samahani naomba futa meseji ya mwisho niliyoituma please, nipe namba yako nikutumie credit (pesa), naomba unisaidie ndugu yangu!" . JIPANGE KABLA HUJAAMUA....!"
UMEWAHI ONA HII?
Nilikutana na mdada mmoja
mtandaoni; siku tulipopanga kuonana alinifanyia surprise. Kwanza alinambia
nimuelekeze ofisini ndo aanzie (alitoka mbali na nilikokuwa). Alifika ofisini
tukasalimiana, then akaniaga na kunambia anatafuta hotel apumzike then atanicall
ili tukae sehemu tuongee mawili matatu. Kwa namna nilivyomwona alivyokuwa
classic ilinibidi niende benk kuongeza unene wa wallet.
Ilikua ni jumapili, hivyo kazi ilikuwa nusu siku. Muda wa saa 8 mchana wakati natoka kazini nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) Ilitubidi tuondoke pale hadi Villar - Kirumba.
Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "Sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" Nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.
Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (Kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) basi tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata simu na kunitakia safari njema.
Ilikua ni jumapili, hivyo kazi ilikuwa nusu siku. Muda wa saa 8 mchana wakati natoka kazini nilimpigia sm kumuuliza alipo - alinielekeza. Nilifika na kuuliza kama wana huduma ya msosi, bahati mbaya chakula alichokitaka yeye hakikuwepo (samaki wa kuchoma + ndizi za kukaanga) Ilitubidi tuondoke pale hadi Villar - Kirumba.
Mhudumu alikuja tukaagiza vinywaji na msosi kama kawaida; tuliendelea na maongezi huku tukitumia; ilipofika mida ya saa 2 hivi; nilimuita mhudumu ili nipewe bill nilipe tuendelee na mambo mengine; sauti toka kwa mrembo huyo ilisikika ikisema hivi "Sweetie naomba hiyo bill tuigawane kwani nami nafanya kazi kama wewe unavyofanya kazi na isitoshe una familia wakati mi bado niko single" Nilimwambia hakuna kabaya. Alilipia vinywaji mi nikalipia misosi.
Tuliondoka hadi hotelini na kuburudika kama kawaida. (Kumbuka chumba kalipa mwenyewe). Baada ya mechi niliondoka kwenda kujimwagia maji ili nisepe; nilirudi na kumpa kile nilichojisikia kumpa lakini alikataa kabisa kupokea hicho (pesa) basi tuliagana. Wakati niko njiani alinitumia sms na kunieleza kwamba kwenye mfuko wa koti wa ndani kuna bahasha niangalie then nimjibu.
Nilifungua hiyo bahasha nilikuta laki moja na cheni ya silver. Nilipomuuliza pesa ni za nini alicheka na kukata simu na kunitakia safari njema.
UMEWAHI ONA HII… (Endelea
kutukana watu ovyo kwenye mitandao bila kuwajua ni akina nani uone kama utapata
kama nilivyopata mimi)
Tuesday, December 24, 2013
14 RULES ON HOW TO KEEP YOUR MAN (HATUA 14 ZA KUMDHIBITI MUPENZI)
1. Don't listen to your single girlfriends
2. Compliment your man
3. Don't try to change your man
4. Know what your man likes
5. Curb your jealousy
6. Keep your body right and looking good (this goes for the men too)
7. Stay fresh (hygiene, get your eyebrows done, no do-rags etc.)
8. Be spontaneous
9. Don't talk him to death
10. Be sexually open
11. Don't give him a hard time, be supportive
12. Don't force him to do something he doesn't want to do
13. Don’t listen to rumors
14. Appreciate what he has done/ given to u no matter how little it is...always say "THANK YOU" .. even if you don't mean it
2. Compliment your man
3. Don't try to change your man
4. Know what your man likes
5. Curb your jealousy
6. Keep your body right and looking good (this goes for the men too)
7. Stay fresh (hygiene, get your eyebrows done, no do-rags etc.)
8. Be spontaneous
9. Don't talk him to death
10. Be sexually open
11. Don't give him a hard time, be supportive
12. Don't force him to do something he doesn't want to do
13. Don’t listen to rumors
14. Appreciate what he has done/ given to u no matter how little it is...always say "THANK YOU" .. even if you don't mean it
LIKE & SHARE NA MARAFIKI
GUYS AND LADIES!
1. Guys Will Always Be The First To Text A Girl, But Once That Lady Spreads Those Legs
For Him she Would Be the one texting Him Every Time.
2. Most Guys Will Say. Its Not A Must We Have SEX
But Truth Behind it is, Why don't We have It .Every time we are Together.
3. Most Girls Will Say, I Have DATED Two Guys Which Its A Lie, She Has Dated More than that.
4. Most Guys Will Say I Want Us To be together Forever But Once He Got What he
Wants From her Then Problems Starts. Break ups Every time.
5. Most Ladies Give in To SEX Just keep that Relationship Strong But to Guys More You Give in To SEX the More you Become Cheap and useless To Him
2. Most Guys Will Say. Its Not A Must We Have SEX
But Truth Behind it is, Why don't We have It .Every time we are Together.
3. Most Girls Will Say, I Have DATED Two Guys Which Its A Lie, She Has Dated More than that.
4. Most Guys Will Say I Want Us To be together Forever But Once He Got What he
Wants From her Then Problems Starts. Break ups Every time.
5. Most Ladies Give in To SEX Just keep that Relationship Strong But to Guys More You Give in To SEX the More you Become Cheap and useless To Him
TRUE OR FALSE?
Wednesday, December 18, 2013
ZIJUE POZI ZA WANAWAKE KWENYE KUPOKEA SIMU
Hili ni pozi la mwanamke akisubiri simu ipokelewe, kuna kitu anata kumweleza mpenzi wake na anasubiri apokee simu kwa shauku kubwa..........
Ukiona mwanamke anaongea na simu kwa pozi hili jua hapo mwanaume anataka kuingizwa Kingi na hatochomoa...
Hili ni pozi ambalo huendana na mirindimo ya sauti ya kubembeleza kwa maneno matamu na yenye kuleta ashki kwa mwanaume....
Hili ni pozi la kumnasa mume wa mtu, hapo unaweza kukuta anahimizwa apitie nyumba ndogo kabla ya kwenda kwa mkewe na akithubutu huenda siku hiyo mwanaume akauza mechi na nyumbani asirudi. Maana atakutana na maandalizi ambayo yatamfanya apoteze network kwa muda na akishtuka kumekucha .......
Hili ni pozi la kukumbushia mechi ya jana jinsi ilivyonoga. Hili pozi likinogeshwa na sauti ya mahaba yenye lafudhi ya pwani, lazima mwaume aingie kingi.
Hili pozi la kuomba hela ya shopping, mwanaume lazima atoe hela atake asitake.......................
Hili ni pozi la kukumbushia mtoko (dates)..............
Hili pozi hutumiwa na wanawake kuwashawishi wapenzi wao wawahi kurudi nyumbani mapema maana wana hamu nao......
Hili pozi hutumiwa na wanawake kuwaaandaa wenzi wao kimapenzi kabla ya mechi, hapo mwanaume lazima ajue akirudi nyumbani ligwaride linamsubiri.........
Hili pozi feki la kukataa mtoko wa mwanaume wakati anataka, hapo mwanamke anajifaragua kujifanya ana ratiba nyingine na hawezi kubadilisha, lakini hapo anaomba Mungu jamaa akaze uzi kusisitiza ili ajifanye anakubali kwa shingo upande kumbe moyoni ana lake jambo. Kama mwanaume akikubali kwamba watapanga siku nyingine itamuumaje, maana halikuwa lengo lake kukataa bali alikuwa anataka kutingisha kibiriti tu, ili kujua kwamba mwanaume anampnda kiasi gani... Wanaume tuna kazi.....!!!
Hili ni pozi la kusubiri simu ya mwanaume aliyekuwa na mtoko naye. Kwa kawaida baada ya mwanamke kuwa na mtoko na mwanaume hutarajia kupigiwa simu baada ya kila mtu kurudi kwake, lakini akiona kimya hapigiwi simu maswali mengi huenda kichwani kwa mwanamke. Je hajavutiwa na mimi? Je kuna kitu nimemuudhi? Je mimi sio kiwango chake? ilimradi atajiuliza maswali lukuki. Ikitokea hajapigiwa simu kabisa hatolala usiku kucha akijiuliza maswali yasiyo na majibu. Nawasihi wanaume wakiwa na mtoko na mwanamke hata kama hajampenda apige tu simu kumtakia usiku mwema kwani kumchunia baada ya mtoko ni kumuumiza mwenzake kihisia na kumpa jakamoyo....
Hili ni pozi linalotumiwa na wanawake kutunga uongo. Hapo labda mwanaume anapiga simu na anajua anataka nini, kwa sababu hana uhakika ajibu kitu gani anajaribu kutafuta jibu la uongo ili kuepusha shari.......
Ukiona mwanamke ameweka pozi kama hili wakti anaongea na simu jua kwamba anatongozwa na hapo mwanume anashusha mashairi, lakini mwanamke anakuwa hana uhakika kama mwanaume huyo ni mkweli aua anadanganywa. Hilo pozi limekaa ki fifty fifty yaani akubaliau akatae, inawezekana ni kuombwa mtoko lakini nia imeshajulikana na mwanamke anashindwa kujua akubali au asikubali.....
NANI MJANJA?
NANI MJANJA? BABA 1 Mlevi Nyumba yake ina shimo kubwa uani lenye maji
Machafu ila halina mfuniko. Siku moja BABA karudi saa 8 usiku toka
Ulevini mambo yakawa hivi;
BABA: Funguaa!!
MKE: Leo sifungui, Nimechoshwa na tabia yako.
MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisaa.
MKE. Kufa tu huna faida duniani!.
MUME kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo pwaaa!!
MKE kusikia akajifunga kanga fasta akafungua mlango.
Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje.
MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje.
MUME: Piga sana 2 wakija uwambie unatoka wapi usiku huu tena na kanga moja!?
Windows Phone VS Android Uende wapi?
Ni kawaida
sasa hivi kwenye redio kusikia matangazo ya lumia, samsung galaxies
zinazidi kushika kasi, techno wanakomba soko la tanzania na huawei
nyingi za tigo zinazidi kusambaa . Yote haya yanaweza kukuchanganya na
kufanya usifanye uamuzi sahihi wakati wa kuchagua simu. hebu tuangalie
windows phone ni nini na android ni nini na baadae utajua ufanyeje
kuchagua simu sahihi.
Subscribe to:
Posts (Atom)