BRAZIL 2014: Brazil yakata rufaa kadi za njano za Thiago Silva
>Brazil imekata rufaa juu ya adhabu ya kukosa mchezo mmoja kwa nahodha wake, Thiago Silva mwenye kadi mbili za njano, ambazo zinamaanisha atalazimika kukosa mchezo wa leo dhidi ya Ujerumani.