Binti alisafiri kwenda china muda wa miaka 10, alipofka akawatumia
wazaz wake kichupa cha dawa wanywe tone 1 moja wasizeeke, baada ya
miaka 20 aliporudi alimkuta mama yake kawa bint huku kabeba katoto ka
kiume akafurahi kumkuta mama yake kawa binti kigori, akamuuliza mama baba yuko
wapi? Mama akamjibu mwanangu baba yako alivyoniona nimekua binti yeye
akanywa kichupa chote ndo huyu nimembeba mgongoni.
Wachina noma!!!!