(Shabiki wa simba akipewa Msaada baada ya Goli la 3 Kipindi cha kwanza)

Mzee mmoja ambae ni shabiki wa timu ya Simba aliyefahamika kwa jina la
Ramadhani Mbande " Kindalindali" amefariki dunia jana majira ya Saa
kumi na moja na dakika 40 Baada timu yake kufungwa Magoli 3 kwa Bila
kipindi cha kwanza.
Mzee huyo alikuwa Nyumbani akitizama mpira
Pamoja na Mwanae wa Mwisho uliokuwa unarusha kupitia TBC1 na baada ya
mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza Diego kuifungia timu yake Magoli hayo
mawili na kufanya kufikia idadi ya magoli matatu kwa Bila Ghafla
alidondoka na kupoteza fahamu na baadae alikimbizwa Hospitali ya Amana
na huko ndiko umauti ulikomfika. Hata hivyo mwili marehemu utasafirishwa
leo kuelekea kijijini kwao Mang'ura Mkoani Morogoro.
(Shabiki wa simba akipewa Msaada baada ya Goli la 3 Kipindi cha kwanza)
(Shabiki wa simba akipewa Msaada baada ya Goli la 3 Kipindi cha kwanza)
(Shabiki wa simba akipewa Msaada baada ya Goli la 3 Kipindi cha kwanza)
(Shabiki wa simba akipewa Msaada baada ya Goli la 3 Kipindi cha kwanza)
Mzee mmoja ambae ni shabiki wa timu ya Simba aliyefahamika kwa jina la
Ramadhani Mbande " Kindalindali" amefariki dunia jana majira ya Saa
kumi na moja na dakika 40 Baada timu yake kufungwa Magoli 3 kwa Bila
kipindi cha kwanza.
Mzee huyo alikuwa Nyumbani akitizama mpira Pamoja na Mwanae wa Mwisho uliokuwa unarusha kupitia TBC1 na baada ya mshambuliaji wa Yanga Hamisi Kiiza Diego kuifungia timu yake Magoli hayo mawili na kufanya kufikia idadi ya magoli matatu kwa Bila Ghafla alidondoka na kupoteza fahamu na baadae alikimbizwa Hospitali ya Amana na huko ndiko umauti ulikomfika. Hata hivyo mwili marehemu utasafirishwa leo kuelekea kijijini kwao Mang'ura Mkoani Morogoro.