skip to main |
skip to sidebar
HUU NI ULIMBUKENI AMA NINI?
"Mkianza
Penzi lenu jipya muwe na simile msitupigie makelele, kila muda Haniiii
Haniiii utadhani FB kuna mzinga wa nyuki. Kuweni tu wapole na mkae mkijua
baada ya miezi 3 hizo hanii zote finito, kushnehi, mtaanza kuitana Oya
uko Wapi, hamna cha hanii wala kashata.. Walio na penzi jipya utawajua
tu, tena kama wote ni marafiki Facebook ndo balaa, wall post Hny twende
tukale, Honey tukaoge, Honey today u made me happy, hny duhh...Penzi jipya
ni kama Vibration ya simu ya mchina, full makelele utadhani wao ndo wa
kwanza kufall in love.. Huo ni ulimbukeni wa mahaba!"
WALENGWA NADHANI UJUMBE UMEFIKA.