Utajua kama unasimu ya KICHINA
kama_________
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina Tv, microwave, torch, kikata kucha, mswaki, kiberiti cha sigara

3. Unaweza andika sms hata kwa tooth pick
4. Kuna matatizo ya kimaandishi mfano Nokla, Blackderry, Samvang
5. Ndege ikipita , simu inaandika 1 missed call

6. Ukiwa karibu na lorry likawashwa kitu kinaandika "Charger Connected"
7. Lazma iwe na Simu card Mbili na bettry mbili
8. Kukiwa hamna umeme inaandika "insert sim card"
9. Ukipost status facebook ina post 10 nyingine bila wewe mwenyewe kujua
10. Ukipita karibu na mchina huku bluetooth ikiwa ON , simu inaonesha new hardware found, please enter pairing code