skip to main |
skip to sidebar
MSANII MEYA KUFANYA KAZI NA AKI NA UKWA
MEYA KUFANYA KAZI NA CHINEDU
Msanii anayefahamika kwa jina la Meya Shabani almaarufu kama Aki wa Bongo anafanya mipango ya kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria Nollywood, Chinedu na Osita.
katika mazungumzo hayo Meya alisema kwamba wasanii hawa wawili wanaweza
wakaja hapa Tzee japokuwa ndiyo wapo katika mazungumzo na wasanii
mbalimbai wa Tz ili wapate ushauri katika kufikisha malengo yao ya
kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria.