KAKYTEE MEDIA
Tuesday, June 16, 2015
ARSENAL NEW KIT : UZI MPYA WA ARSENAL HUU HAPA :
Klabu ya Arsenal imetambulisha rasmi jezi zao mpya watakazotumia msimu wa 2015/16 kwenye uwanja wao wa nyumbani wa
Emirates
jijini London.
Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na maelfu wa mashabiki wake, mchezaji wa zamani wa timu hiyo
Thierry Henry
alikua muenshaji wa shughuli hiyo.
‹
›
Home
View web version