Matokeo, wafungaji, msimamo na video za magoli ya Champions league Oct 22 2013
Kama umemis kutazama mechi hizi kali za October 22 2013 kutokana na sababu mbalimbali kama umeme kukatika, kutingwa na mishemishe na ishu nyingine kama hizo. Sasa basi kwa kulitambua hilo, nakualika kuchek video na kusoma matokeo ya kila mechi ilivyokua.