KAKYTEE MEDIA
Thursday, May 10, 2012
MH! DUNIA HAIISHI VITUKO
HAHAHA! HEBU PATA PICHA: Unakuta na mrembo kama mida ya saa Tatu hivi usiku, unampenda na baada ya kumtokea anakuambia mkatembee home kwake, ile kufika nje unakutana na hiyo taswira hapo.
INGELIKUA WEWE UNGEFANYAJE? FUNGUKA KWA COMMENT HAPO CHINI
‹
›
Home
View web version