Headlines News :
Home » » Dr. Jose Chameleone- BADILISHA - Lyrics

Dr. Jose Chameleone- BADILISHA - Lyrics

Written By Kakytee Media.Inc. on Tuesday, September 3, 2013 | 12:13 PM


INTRO###

I GOT TO GO- BADILISHAAND LET YOU GO, 

UNANIUMIZA SANA NINATESEKA,NDANI MOYONI MIMI NAUMWA

I GOT TO GO- KANGENDEAND LET YOU GO- SITAWEZA

NIMEVUMILIA SANA,HUTAKI CHANGE,NAONA UMESHINDWA,KUBADILISHA

I GOT TO GO- KANKUPOWEAND LET YOU GO- MUKWANO ONUMYA

VERSE 1:

PETE YA HARUSI NINAYO KIDOLE,NILIKUPENDA BUT BABY SORRY,UTAPATA MWENGINE DONT YOU WORRY.......ahaaaaWATOTO TUMEZAA TUNAO TAYARI,TULIPANGA MI NA WE MILELI,LAKINI NI NINI NINI UNANICHANGANYA,MAISHA WOTE WAWILI TULIPANGA,SHIDA NI NYINGI HATUJAKOSANA,HAINGEKUA HIVI UNAPENDWA, NA HUPENDI MPENZI TU'ACHANE NA HIVYO HILIVYO


CHORUS

VERSE 2:

HI NI BAHATI UNAEMPENDA SANA POPOTE ALIPO,AITWE TAPELI, HAJAKULA ZA MUNTU ANAKULA ZAKE ZIPO,NIPE CHANGU NA MI NIKUPE CHAKO,KAMA HUNIPENDI HILI NI VAKO,WE GOT ALOT OF ISSUES TO SETTLE,PAMOJA TUENDE MU SETTLE,LOVE ME BABY I WILL LOVE YOU BACK,SCRATCH MY BACK I WILL SCRATCH YOUR BACK,NOT THIS WAY UNAPENDWA, HUNIPENDI!

CHORUS:

BREAK:

TULIAMUA TUWE TOGETHER,MIMI NA WE TUWE FOREVER,AHADHI YETU YA MIMI NAWEWE NA WATOTO WETU,TUPAMBANE SHIDA ZOTE ZA NYUMBANI TUZIMALIZE NOW!

GIRL EVERY WOMAN FOR A MAN,LOVE ME I LOVE YOU BACK AND THATS WHAT AH GWAAN,GIRL IT'S ANOTHER TUNE DONE,MI SING A BAGGA TUNES AND THIS ONE GO ALONG,GIRL NEVER WORRY ABOUT ITEVERY TIME I COME WITH A BAG OF SWEETNESSTHIS ONE PADDY CHAMELEONE AND THE MUSIC EMPIRE

CHORUS
Share this article :
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
 
Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
Template Modified by KakyteeMedia
Proudly powered by Blogger