Headlines News :

Friday, February 28, 2014

Je, Unataka kutengeneza au kumiliki ?

Kakytee Blog tunatengeneza BLOGS zenye muonekano mzuri  na kwa bei nafuu sana kulinganisha na watengenezaji wengine Zanzibar.
Blog moja tunatengeneza kwa
Elfu Themanini Tu! 80,000/=

Elfu sitini Tu! 60,000/= 
Pia zipo za

Elfu Hamsini Tu! 50,000/=  
  • Blogs modifications costs 30,000/= TZS
  • Adding music play list, Radio ( Clouds, TimesFm, Zenji Fm nk )
  • Adding top up buttons etc
Creading banners costs 10,000/= T shillings each banner
and Online advertisements   Wasiliana nasi kupitia

Namba za simu: +255772044545.
Email Address: kakytee@gmail.com
Kwa maelezo zaidi 
Ahsanteni!

Wednesday, February 26, 2014

Mapenzi ya dhati si lazima mwenza wako akununulie vitu vya thamani na kukupatia pesa kila unapozihitaji.

Daima mwenza anayekupenda huonyesha upendo wake wa dhati kwa vitendo na hakuna kitabu wala mtaalamu ambaye anaweza kukufundisha namna ya kuonyesha upendo wa dhati kwa mwenza wako kwasababu kitendo hicho pekee hutokea kwa muhusika kiasili wanachofanya wataalamu ni kufundisha mambo mazuri katika mapenzi lakini ni muhimu wewe binafsi kujitambua na kukubali kile unachokifanya Mapenzi au upendo ni hisia ambazo hazitabiriki , na kumbuka upendo siyo kwa watu wenye fedha ambao wanadhani kwa kutumia pesa zao wataupata mapenzi hayaangalii kipato ila kipato ni sehemu ya maisha.

Unaweza kumuandalia mwenza wako zawadi yeyote kulingana na uwezo wako usijilazimishe kufanya mambo yaliyo nje ya uwezo wako

Zawadi kama Gari na vitu vingine vya thamani havikatazwi ila kuwa makini wakati unatoa zawadi hii angalia uwezo wako na je unayemnunulia ana mapenzi ya dhati kwako au anakupenda kutokana na zawadi za thamani unazompa. Mapenzi hayatabiriki hivyo ni muhimu kuwa makini wakati wote.

Use Facebook to Comment on this Post

KWA PAMOJA HEBU TUMSHAURI HUYU KIJANA .. .

ANAOMBA USHAURI:

Mimi ni kijana wa miaka 29. Baada ya maisha kunipiga kwa muda mrefu kutokana na kutokuwa na msaada wa familia na kutokuwa na kazi na kuishia kuwa 'mishen town' tu, miaka mitatu iliyopita nilimpata mama mmoja wa miaka 45 (sasa ana miaka 48) ambaye alikuwa mjane ila mambo safi (hela anazo). Mapenzi yakanoga kiasi tukaamua kufunga ndoa. Ndoa yetu haikuhusisha watu wengi sana zaidi ya marafiki wachache tu, hata familia zetu hazikuhusishwa kutokana na hali yenyewe (kijana anaoa jimama). Huyu mama ana binti mwenye miaka 24 kwa sasa. Kifamilia, huyo ni binti yangu kwa kuwa mimi ni mume wa mama yake.

Kilichonitatiza sasa ni hiki: Miezi kadhaa iliyopita, binti amekuja kutuambia kuwa amepata mwanaume anayempenda wa kumuoa na kwa kuwa vijana wa siku hizi ni wasumbufu kwenye mapenzi wakiwa na vijana wenzao, amemkubali mwanaume huyo japo ni mtu mzima sana (anakaribia miaka 60). Kwa kuangalia hali yetu (mimi ni kijana na mama yake anaelekea uzee), tulishindwa kumkatalia. 

Basi siku ikapangwa mwanaume aje kujitambulisha ili process nyingine zifuatwe. Kilichonishtusha sana siku ilipofika: Mwanaume huyo ni baba yangu mzazi ambaye kwa sasa anaishi mwenyewe kwa kuwa mama yetu alifariki miaka 10 hivi iliyopita. Baba yangu amekuwa akiishi mwenyewe tu, na kwa kuwa kipato chake kwa muda mrefu kilikuwa ni cha chini, hatukuwa na ukaribu sana kwani kila mmoja alikuwa anatafuta kivyake. Hata huyu mama (mke wangu) hajawahi kukutana naye.

Najiuliza: Niipinge hii ndoa? Kwa kuwa kama wakikubaliana kufunga ndoa, basi nitakuwa baba mkwe wa baba yangu mzazi. Na pia huyu binti mbali ya kuwa ni binti yangu (kwa huyu mama yake), pia atakuwa mama yangu (kwa baba yangu mzazi). Vipi wakizaa mtoto, nitamuitaje, mdogo wangu au mjukuu wangu?

Nimechanganyikiwa sijielewi, tafadhali naomba ushauri wenu!Mimi ni kijana wa miaka 29. Baada ya maisha kunipiga kwa muda mrefu kutokana na kutokuwa na msaada wa familia na kutokuwa na kazi na kuishia kuwa 'mishen town' tu, miaka mitatu iliyopita nilimpata mama mmoja wa miaka 45 (sasa ana miaka 48) ambaye alikuwa mjane ila mambo safi (hela anazo). Mapenzi yakanoga kiasi tukaamua kufunga ndoa. Ndoa yetu haikuhusisha watu wengi sana zaidi ya marafiki wachache tu, hata familia zetu hazikuhusishwa kutokana na hali yenyewe (kijana anaoa jimama). Huyu mama ana binti mwenye miaka 24 kwa sasa. Kifamilia, huyo ni binti yangu kwa kuwa mimi ni mume wa mama yake.

Kilichonitatiza sasa ni hiki: Miezi kadhaa iliyopita, binti amekuja kutuambia kuwa amepata mwanaume anayempenda wa kumuoa na kwa kuwa vijana wa siku hizi ni wasumbufu kwenye mapenzi wakiwa na vijana wenzao, amemkubali mwanaume huyo japo ni mtu mzima sana (anakaribia miaka 60). Kwa kuangalia hali yetu (mimi ni kijana na mama yake anaelekea uzee), tulishindwa kumkatalia.

Basi siku ikapangwa mwanaume aje kujitambulisha ili process nyingine zifuatwe. Kilichonishtusha sana siku ilipofika: Mwanaume huyo ni baba yangu mzazi ambaye kwa sasa anaishi mwenyewe kwa kuwa mama yetu alifariki miaka 10 hivi iliyopita. Baba yangu amekuwa akiishi mwenyewe tu, na kwa kuwa kipato chake kwa muda mrefu kilikuwa ni cha chini, hatukuwa na ukaribu sana kwani kila mmoja alikuwa anatafuta kivyake. Hata huyu mama (mke wangu) hajawahi kukutana naye.

Najiuliza: Niipinge hii ndoa? Kwa kuwa kama wakikubaliana kufunga ndoa, basi nitakuwa baba mkwe wa baba yangu mzazi. Na pia huyu binti mbali ya kuwa ni binti yangu (kwa huyu mama yake), pia atakuwa mama yangu (kwa baba yangu mzazi). Vipi wakizaa mtoto, nitamuitaje, mdogo wangu au mjukuu wangu?

Nimechanganyikiwa sijielewi, tafadhali naomba ushauri wenu!

Sunday, February 23, 2014

MAN UTD YAICHINJIA BAHARINI CRISTAL PALACE 2 KWA NUNGE #EPL

Wayne Rooney 

  •   Robin Van Persie 62' PEN
  • Wayne Rooney 68' 

BARCELONA YANYUKWA 3 NA REAL SOCIEDAD

Lionel Messi
Lionel Messi  

Barcelona endured another miserable trip to the Anoeta on Saturday as Real Sociedad produced a brilliant team display to beat the under-par Catalan giants 3-1.
The Basque outfit, who defeated Barcelona 3-2 in the corresponding fixture last term, went ahead in the 32nd minute when Gorka Elustondo's header found the net via the shoulder of visiting defender Alex Song.
Lionel Messi equalised four minutes later with a typically clinical finish, but further home goals in the first 14 minutes of the second half - scored by Antoine Griezmann and David Zurutuza - ensured the Primera Division champions left San Sebastian empty-handed for the third time in four seasons.
Barcelona headed into the game buoyed by their midweek 2-0 Champions League win at Manchester City, but having fallen three points behind arch rivals Real Madrid at the summit following the capital club's 3-0 victory over Elche earlier in the day.
Pedro Rodriguez passed up their only notable chance of the first half-hour, firing wide after a slick one-two with Andres Iniesta in the 19th minute, while Carlos Vela was unable to capitalise when presented with the best of the early opportunities for the hosts.
The opening goal arrived in the 32nd minute, though, when the champions were caught out by a short corner. Sergio Canales produced a fine first-time cross towards Elustondo, who nodded home via a deflection off Song.
The lead lasted only four minutes, though, before Messi equalised.
The Argentina forward had been on the periphery of proceedings until that point, but popped up to coolly despatch a low shot into the bottom right corner following neat interplay with Sergio Busquets. Tellingly it was Barcelona's only shot on target in the first half.
Sociedad should have gone in at the break ahead, but Vela blazed over the bar after being presented with an opening by some sloppy defending from Gerard Pique in the 40th minute.
Jagoba Arrasate's side did restore their lead early in the second half, however.
The visitors were given a warning on 52 minutes when Mikel Gonzalez headed a Canales free-kick narrowly over when well placed, and two minutes later Sociedad were 2-1 up.
A long punt downfield by goalkeeper Claudio Bravo was met by the head of Barcelona defender Marc Bartra, but he only managed to flick the ball on to Vela, whose early square ball for Griezmann caught Barcelona cold. The Frenchman still had work to do but, on the slide, he made the perfect connection to lash high past Victor Valdes.
And, before Gerardo Martino's side could regroup, they found themselves two goals down.
Griezmann was again involved, supplying the perfect cross in for Zurutuza, who had breezed into the Barcelona box unnoticed and got his left foot to the ball to poke home ahead of the out-rushing Valdes.
Sociedad could and should have extended their lead in the 81st minute when substitute Xabi Prieto pounced on more hesitant play by Pique and unselfishly teed up Vela, but his low shot rebounded off the post.

Friday, February 21, 2014

SOMA HIKI KISTORI KUONDOA STRESS NA MACHOFU YA MCHANA KUTWA

Kucheki mpira na wanawake ni stresi tupu kwa maswali yao:

Mwanamke: Baby yule jamaa ni Chris Brown?
Jamaa: Hapana anaitwa Theo Walcott.
Mwanamke: Hee.. Ile kadi ya njano ni ya nini?
Jamaa: Ni onyo tu kwamba kafanya kitendo kibaya, akipewa nyekundu anatoka!
Mwanamke: Na ya kijani je?
Jamaa: Hamna kitu kama hicho! Hamna za kijani!
Mwanamke: Nataka Arsenal washinde Kombe la Dunia.
Jamaa: (kimya)
Binti: Yule mzee ni nani?
Jamaa: Arsene Wenger.
Binti: Okay! Kwa hiyo na yule mwingine ni Manchester Wenger?!

USIKU MWEMA 

INGEKUA HIVI , INGEKUA VIPI?

"Ingekuwa ni mimi ningeclear mabweni mawili matatu UDOM, Wabunge Bunge la Katiba (wawili wawe wanashea room moja) wangepata pakulala na msosi cafeteria na posho 50,000 kwa siku, usafiri wa to and from bungeni wakati wa session za vikao utatolewa. 
Option ya pili ni familia 600 za Dodoma kuadopt Mbunge mmoja mmoja kukaa nao kwa miezi mitatu. Familia kuwezeshwa posho ya 500,000 kwa mwezi na Mbunge kupata 80,000/ a day. Anayekataa namkodia helikopta mpaka kijijini kwake anashushwa uwanja wa shule ya msingi ya kijiji wananchi watambue kwanini karudishwa."

MATCH REPORT ARSENAL V/S BUYERN MUNCHEN

MCHEZO WA ARSENAL VS BAYERN MUNICH KWENYE NAMBA - KIWANGO CHA CHINI ZAIDI KWA ARSENAL MSIMU HUU

Usiku wa jana ulikuwa mrefu sana kwa mashabiki wa klabu ya Arsenal baada ya timu yao kupigiwa soka la hatari na kufungwa 2-0 na mabingwa watetezi wa klabu bingwa ya ulaya FC Bayern Munchen. 
Usiku wa jana tulishuhudia Bayern Munich wakiweka rekodi mpya ya Champions League baada ya kukamilisha asilimia 95% ya pasi walizopiga. 
Tuangalie ushindi huo wa Bayern kupitia mfumo wa namba. 

863

Hii ni namba ya pasi walizojaribu kupiga Bayern, 95% ya pasi hizi zilifika kwa wenzao. Hii ni rekodi mpya katika champions league tangu utaratibu wa takwimu kwenye mechi uanze msimu wa 2003-04 season..

222

Namba ya pasi walizojaribu kupiga Arsenal. Walikamilisha 71% ya pasi hizo. Namba ya chini kabisa kwa Arsenal katika takwimu za pasi, kabla ya jana namba ya chini kabisa ilikuwa 394, hii ilikuwa kwenye EPL dhidi ya Tottenham mwezi September mwaka jana. 

147

Hii namba ya pasi alizopiga kiungo wa Bayern Toni Kroos.  

127

Namba ya pasi alizopiga Toni Kroos katika nusu ya uwanja golini mwa Arsenal - alikamilisha 96.1% ya pasi hizo. 

100

Goli la Toni Kroos jana usiku lilikuwa goli la 100 kwa Bayern Munich katika mashindano yote msimu huu. Kadi nyekundu ya golikipa Wojciech Szczesny ilimfanya kuwa mchezaji wa 100 kupewa kadi nyekundu tangu Wenger aanze kuifundisha timu hiyo mwaka 1995. 

78.8

Asilimia ya umiliki wa mpira waliyokuwa nayo Bayern Munich ndani ya dakika 90. 

30

Mchezaji aliyejaribu kupiga pasi nyingi zaidi kwa upande wa Arsenal alikuwa Jack Wilshare ambaye alikamilisha 66% ya majaribio 30.

26

Majaribio ya kufunga yaliyofanywa na Bayern katika goli la Arsenal, Arsenal walijaribu mara 8 tu - mara 1 tu katika kipindi cha kwanza. 

12

Arsenal waliweza kuwa na jumla ya 12% ya kumiliki mpira katika kipindi cha pili.

3

Winga wa Bayern Munich Arjen Robben ndio mchezaji pekee kuwahi kupewa penati 3 katika msimu huu wa Champions league. Mesut Ozil ndio mchezaji pekee aliyekosa mara mbili.

Thursday, February 20, 2014

HADITHI YA UPENDO

>>>>> SOMO LA LEO 13 <<<<<<

YALIYOTOKEA  <3 VALENTINE DAY <3  LEO

Hapo zamani Mwanake mmoja alie ishi  KINYEREZI , sikumoja akiwa anatoka Ndani kwake aliona wazee watatu walio simama nje kidogo karibu kabisa ya mlango wa nyumba yake , aliwasogelea karibu na kuwaambia " Siwafahamu wazee wangu lakini ,mwaweza karibia Hata ndani tupate chai ? ni asubuhi saahizi " ilikua mida ya saa nne hiv ...

"Mumeo yupo Ndani ?' waliuliza . akajibu "Hapana " hayupo ametoka kidogo " wazee wale walijibu kwapamoja kua " Basi kama hayupo sie hatuwezi kuingia Ndani kwakweli "

Jioni ilipo Fika ,mumewe alipo Rudi ,Mwanamke alimpokea na kumwambia kilicho tokea kuwa kuna Hao nwazee watatu wanakusubiri Toka Asubuhi Wapo Hapo njee Hawajasogea sana sana wanapiga STORY tuh . Mumewe alimwambia Nenda Kawambie nimesha fika Nyumbani Teyari wanaweza kuingia ndani nipoo...!! 

Mwanamke alitoka njee akaenda kuongea nao wale wazee ili waweze kuja Ndani . Alipo fika aliwakaribisha wazee walee Kwapamoja walimjibu " Daima sisi Hatuwezi kuingia Ndani ya Nyumba Yeyote Wote Watatu " 

Mwanamke ndipo alipo Uliza " Kwanini Hamuwezi Ingia Ndani Kwangu Kwa Pamoja Ili Hali Mmekaa Njee Toka asubuhi saa Mbili Hadi jioni Kaja Mlie Mtafuta Hamtaki pia Kuingia wote ?" Aliuliza akitaka kujua Mwanamke yule..

Mzee Mmoja alijitolea kujibu swali lile " Mmoja kati ya Hawa wazee Kwa jina anajulikana kama  " UTAJIRI" alisema huku akumunyoosjhea kidole mzee mwenzie . Kisha akanyoosha kidole kwa mzee Mwingine Pia , Yule anajulikana Kwa Jina Kama "MAFANIKIO"  Na mimi najulikana kama "UPENDO" , Haya Mama waweza kwenda ndani uka yaongee na Mumeo Nani Unge Penda Aje Ndani Ya NYUMBA yako Jioni Ya LEO kisha uje Hapa Nje Utwambie ...!!

Mwanamke yule alienda ndani na Kumwambia Mumewe kinacho endelea huko njee, Mumewe alifurahiii sana kusikia Maneno aliyo ambiwa na Mkewe... alijibu " How Nicee " "Kwakua ni hivyoo basi Mke wangu wewe waona Tufanyeje ? mie naona Tumuite na kumruhusu ndani "UTAJIRI" alijibu huku akicheka na Kutabasamu ...

Mkewe Alikataa na Kumwambia " Mume Wangu Kwanini tusi Muite ndani na kumkaribisha MAFANIKIO" ? . Kulikua na Mjukuu wao ana wasikilizaa Kwa Mbali huku anajisomeaa, aliruka kutoka mezani na  kuwambia "Mie naona Tumuite ndani  Mzee "UPENDO" Nyumba Yetu Itajawa na Upendoo na Umojaa "

Kwa Pamoja walikubaliana na Kufuata Pendekezo La mtoto Huyo Mdogo , Baba alisikia akisema " Mama Watoto nenda Njee na Umkaribishe Mzee UPENDO " . mwanamke kwa kufuata Maagizo Yale alienda Njee na Kumkaribisha Mzee UPENDO , "Mzee UPENDO Karibu ndani ya Nyumba Yetu ."

Mzee UPENDO alipo amka na kuanza kuondoka na  Kuelekea Mlangoni Mwa Nyumba Ile mzee "UTAJIRI" na "MAFANIKIO" nao walisimama kuelekea Ndani Mwa nyumba ILe ...

Mwanamke Yule akiwa na Hali Ya Mshangao aliuliza "Nime mkaribisha Mzee UPENDO , inakuwaje na nyie Pia Mwaja na Mwanzoni Mlikataa kabisaa kuja wote ? " wazee wale watatu walijibu Kwapamoja " endapo ingetokea Ukamuita mzee MAFANIKIO au mzee UTAJIRI, sie wengine tungebaki nje , lakini Kwakua Umemuita mzee UPENDO , popote aitwapo/aendapo mzee UPENDO na sie tunaenda . NDUGU MSOMAJI NIYASEMAYO HAPA NDIO YATOKEAYO DUNIANI POPOTE PALIPO NA UPENDO NIAMINI MIMI LAZIMA KUTAKUWEPO NA MAFANIKIO NA UTAJIRI ... <3 HAPPY VALENTISES DAY KWENU <3 
admin wako ~Nelson Oppa~

Click LIKE & SHARE to inspire OTHERS♥

Hapo zamani Mwanake mmoja alie ishi huko Jang'ombe , sikumoja akiwa anatoka Ndani kwake aliona wazee watatu walio simama nje kidogo karibu kabisa ya mlango wa nyumba yake , aliwasogelea karibu na kuwaambia " Siwafahamu wazee wangu lakini ,mwaweza karibia Hata ndani tupate chai ? ni asubuhi saa hizi " ilikua mida ya saa nne hivi ...

"Mumeo yupo Ndani ?' waliuliza . akajibu "Hapana " hayupo ametoka kidogo " wazee wale walijibu kwapamoja kua " Basi kama hayupo sie hatuwezi kuingia Ndani kwakweli "

Jioni ilipo Fika ,mumewe alipo Rudi ,Mwanamke alimpokea na kumwambia kilicho tokea kuwa kuna Hao nwazee watatu wanakusubiri Toka Asubuhi Wapo Hapo njee Hawajasogea sana sana wanapiga STORY tuh . Mumewe alimwambia Nenda Kawambie nimesha fika Nyumbani Teyari wanaweza kuingia ndani nipoo...!!

Mwanamke alitoka njee akaenda kuongea nao wale wazee ili waweze kuja Ndani . Alipo fika aliwakaribisha wazee walee Kwapamoja walimjibu " Daima sisi Hatuwezi kuingia Ndani ya Nyumba Yeyote Wote Watatu "

Mwanamke ndipo alipo Uliza " Kwanini Hamuwezi Ingia Ndani Kwangu Kwa Pamoja Ili Hali Mmekaa Njee Toka asubuhi saa Mbili Hadi jioni Kaja Mlie Mtafuta Hamtaki pia Kuingia wote ?" Aliuliza akitaka kujua Mwanamke yule..

Mzee Mmoja alijitolea kujibu swali lile " Mmoja kati ya Hawa wazee Kwa jina anajulikana kama " UTAJIRI" alisema huku akumunyoosjhea kidole mzee mwenzie . Kisha akanyoosha kidole kwa mzee Mwingine Pia , Yule anajulikana Kwa Jina Kama "MAFANIKIO" Na mimi najulikana kama "UPENDO" , Haya Mama waweza kwenda ndani uka yaongee na Mumeo Nani Unge Penda Aje Ndani Ya NYUMBA yako Jioni Ya LEO kisha uje Hapa Nje Utwambie ...!!

Mwanamke yule alienda ndani na Kumwambia Mumewe kinacho endelea huko njee, Mumewe alifurahiii sana kusikia Maneno aliyo ambiwa na Mkewe... alijibu " How Nicee " "Kwakua ni hivyoo basi Mke wangu wewe waona Tufanyeje ? mie naona Tumuite na kumruhusu ndani "UTAJIRI" alijibu huku akicheka na Kutabasamu ...

Mkewe Alikataa na Kumwambia " Mume Wangu Kwanini tusi Muite ndani na kumkaribisha MAFANIKIO" ? . Kulikua na Mjukuu wao ana wasikilizaa Kwa Mbali huku anajisomeaa, aliruka kutoka mezani na kuwambia "Mie naona Tumuite ndani Mzee "UPENDO" Nyumba Yetu Itajawa na Upendoo na Umojaa "

Kwa Pamoja walikubaliana na Kufuata Pendekezo La mtoto Huyo Mdogo , Baba alisikia akisema " Mama Watoto nenda Njee na Umkaribishe Mzee UPENDO " . mwanamke kwa kufuata Maagizo Yale alienda Njee na Kumkaribisha Mzee UPENDO , "Mzee UPENDO Karibu ndani ya Nyumba Yetu ."

Mzee UPENDO alipo amka na kuanza kuondoka na Kuelekea Mlangoni Mwa Nyumba Ile mzee "UTAJIRI" na "MAFANIKIO" nao walisimama kuelekea Ndani Mwa nyumba ILe ...

Mwanamke Yule akiwa na Hali Ya Mshangao aliuliza "Nime mkaribisha Mzee UPENDO , inakuwaje na nyie Pia Mwaja na Mwanzoni Mlikataa kabisaa kuja wote ? " wazee wale watatu walijibu Kwapamoja " endapo ingetokea Ukamuita mzee MAFANIKIO au mzee UTAJIRI, sie wengine tungebaki nje , lakini Kwakua Umemuita mzee UPENDO , popote aitwapo/aendapo mzee UPENDO na sie tunaenda . NDUGU MSOMAJI NIYASEMAYO HAPA NDIO YATOKEAYO DUNIANI POPOTE PALIPO NA UPENDO NIAMINI MIMI LAZIMA KUTAKUWEPO NA MAFANIKIO NA UTAJIRI ... HAPPY VALENTISES DAY KWENU

>>>>> SOMO LA LEO 13 <<<<<<

YALIYOTOKEA  <3 VALENTINE DAY <3  LEO

Hapo zamani Mwanake mmoja alie ishi  KINYEREZI , sikumoja akiwa anatoka Ndani kwake aliona wazee watatu walio simama nje kidogo karibu kabisa ya mlango wa nyumba yake , aliwasogelea karibu na kuwaambia " Siwafahamu wazee wangu lakini ,mwaweza karibia Hata ndani tupate chai ? ni asubuhi saahizi " ilikua mida ya saa nne hiv ...

"Mumeo yupo Ndani ?' waliuliza . akajibu "Hapana " hayupo ametoka kidogo " wazee wale walijibu kwapamoja kua " Basi kama hayupo sie hatuwezi kuingia Ndani kwakweli "

Jioni ilipo Fika ,mumewe alipo Rudi ,Mwanamke alimpokea na kumwambia kilicho tokea kuwa kuna Hao nwazee watatu wanakusubiri Toka Asubuhi Wapo Hapo njee Hawajasogea sana sana wanapiga STORY tuh . Mumewe alimwambia Nenda Kawambie nimesha fika Nyumbani Teyari wanaweza kuingia ndani nipoo...!! 

Mwanamke alitoka njee akaenda kuongea nao wale wazee ili waweze kuja Ndani . Alipo fika aliwakaribisha wazee walee Kwapamoja walimjibu " Daima sisi Hatuwezi kuingia Ndani ya Nyumba Yeyote Wote Watatu " 

Mwanamke ndipo alipo Uliza " Kwanini Hamuwezi Ingia Ndani Kwangu Kwa Pamoja Ili Hali Mmekaa Njee Toka asubuhi saa Mbili Hadi jioni Kaja Mlie Mtafuta Hamtaki pia Kuingia wote ?" Aliuliza akitaka kujua Mwanamke yule..

Mzee Mmoja alijitolea kujibu swali lile " Mmoja kati ya Hawa wazee Kwa jina anajulikana kama  " UTAJIRI" alisema huku akumunyoosjhea kidole mzee mwenzie . Kisha akanyoosha kidole kwa mzee Mwingine Pia , Yule anajulikana Kwa Jina Kama "MAFANIKIO"  Na mimi najulikana kama "UPENDO" , Haya Mama waweza kwenda ndani uka yaongee na Mumeo Nani Unge Penda Aje Ndani Ya NYUMBA yako Jioni Ya LEO kisha uje Hapa Nje Utwambie ...!!

Mwanamke yule alienda ndani na Kumwambia Mumewe kinacho endelea huko njee, Mumewe alifurahiii sana kusikia Maneno aliyo ambiwa na Mkewe... alijibu " How Nicee " "Kwakua ni hivyoo basi Mke wangu wewe waona Tufanyeje ? mie naona Tumuite na kumruhusu ndani "UTAJIRI" alijibu huku akicheka na Kutabasamu ...

Mkewe Alikataa na Kumwambia " Mume Wangu Kwanini tusi Muite ndani na kumkaribisha MAFANIKIO" ? . Kulikua na Mjukuu wao ana wasikilizaa Kwa Mbali huku anajisomeaa, aliruka kutoka mezani na  kuwambia "Mie naona Tumuite ndani  Mzee "UPENDO" Nyumba Yetu Itajawa na Upendoo na Umojaa "

Kwa Pamoja walikubaliana na Kufuata Pendekezo La mtoto Huyo Mdogo , Baba alisikia akisema " Mama Watoto nenda Njee na Umkaribishe Mzee UPENDO " . mwanamke kwa kufuata Maagizo Yale alienda Njee na Kumkaribisha Mzee UPENDO , "Mzee UPENDO Karibu ndani ya Nyumba Yetu ."

Mzee UPENDO alipo amka na kuanza kuondoka na  Kuelekea Mlangoni Mwa Nyumba Ile mzee "UTAJIRI" na "MAFANIKIO" nao walisimama kuelekea Ndani Mwa nyumba ILe ...

Mwanamke Yule akiwa na Hali Ya Mshangao aliuliza "Nime mkaribisha Mzee UPENDO , inakuwaje na nyie Pia Mwaja na Mwanzoni Mlikataa kabisaa kuja wote ? " wazee wale watatu walijibu Kwapamoja " endapo ingetokea Ukamuita mzee MAFANIKIO au mzee UTAJIRI, sie wengine tungebaki nje , lakini Kwakua Umemuita mzee UPENDO , popote aitwapo/aendapo mzee UPENDO na sie tunaenda . NDUGU MSOMAJI NIYASEMAYO HAPA NDIO YATOKEAYO DUNIANI POPOTE PALIPO NA UPENDO NIAMINI MIMI LAZIMA KUTAKUWEPO NA MAFANIKIO NA UTAJIRI ... <3 HAPPY VALENTISES DAY KWENU <3 
admin wako ~Nelson Oppa~

Click LIKE & SHARE to inspire OTHERS♥

CHOMBEZO : "ALAZWE PEMA"

Juhudi zangu za hapa na pale za kumlaghai binti huyu aingie kwenye himaya yangu ni kama zilikuwa zimegonga mwamba, niliamini kwamba kila neno tayari nimetumia katika kamusi yangu ya longolongo nilizojifunza jijini. Ulikuwa mfadhaiko mkubwa sana yani nilipokuwa mjini haikunichukua muda mrefu sana kumhangaikia msichana sasa hapa kjijini inakuwaje? “Nina mchumba wangu mjini” ndio lilikuwa jibu lake siku zote binti huyu aliyeitwa Ashura bint Zahor, hakuwa na uzuri wa kutisha hata kidogo lakini kwa pale kijijini aliongoza. “Eti ana mchumba mjini kha! mbona hata mi mjini nimefika, tena mie hadi Zenji nimeenda  japo kwa kula skukuu tu nimewaona akina Makomboa,Halikuniki, Asu, Munah, Baby J, na wengineo ambao yeye anaishia kuwaona kwenye tivii tu, huyo mchumba huenda mwisho wake hapo Chake Chake tu mh! Chake  napo mjini huyu mjinga nini??” ndivyo niliwaza, sikuamini likizo yangu ya mwezi mzima nimeambulia patupu yaani naondoka bila kumfaidi mtoto huyu wa kijijini. Alikuwa mwembamba sana wa umbo lakini kifua kilikuwa kipana siju kwa nini, miguu yake ilikuwa na dizaini flani ya ‘matege tusijuane’au kwa wa;e wachezaji wa mpira kuyaita ‘vigoli vidogo’ nywele ndefu zilizosukwa siku nyiingi zilizopita zilishikilia mamlaka ya kichwa chake, mkanzu wake mrefu huku akiwa amejifunga mkanga mmoja mkuu kuu alioshindia kutwa nzima ukiwa amejifunga kiunoni, kiasi flani alifanana na misukule bandia tunayodanganywa kwenye magazeti ya udaku huko bara  kuwa imetolewa na wachungaji mashuhuri wanaojipa majina ya mitume na manabii huku wengine wakifikia hatua ya kujiita Miungu watu.Lakini kutokana na hali yake ya siku hiyo usingeweza kumsema kwa lolote lile maana kila mtu aliijua. Licha ya yote hayo huyu mtoto kama akipata mtu wa kumtunza haki ya nani ni mzuri wewe, hivi unafahamu ladha ya binti mwenye ‘matege tusijuane’, achana na wale wenye ‘matege mbinuko’ hao hawana ladha sana kama hawa ninaozungumzia. Kweli Ashura  apate mtu wa kumtunza mbona asingejutia sema kwenye kile kifua ndio sielewi kama palikuwa na ujanja.
* * * *
Msiba wa babu yake Ashura  haukuwa wa kusikitisha sana kama misiba mengine kwani alikuwa anakaribia kutimiza miaka 95 umri ambao ni wachache sana kuufikia hivyo tuliamini ahadi yake ilikuwa imefika. Mimi pamoja na vijana wengine pale kijijini tuliungana katika shughuli nzima ya kuchimba kaburi hadi maziko kwa ujumla. Baada ya maziko, wengne walirudi makwao, lakini mimi na kundi jingine tulirudi kwenye msiba nyumbani kwao Ashura . Kwa ajili ya kuendelea kutoa mchango wa hapa na pale ikiwa kuna tatizo litaweza kujitokeza. Majira ya saa nne usiku nilikuwa chumbani kwa Ashura  nikimfariji “Jamani mi ngoja nikacheze karata nje” dada yake Ashura  aliyeitwa Faida aliaga na kutoka nje, pale ndani nikabaki mimi na Ashura , roho ikaniambia hiyo, kama ni mpira wa miguu basi ilikuwa ni penalt dakika ya tisini, goli la pekee la ushindi, hiyo ndio nafasi iliyobaki kujaribu bahati kama kweli Ashura  amenizidi ujanja ama inawezekana. “Kibatali kimeisha mafuta” Ashura  alisema baada ya kuona inafifia aliichukua akaitikisa kweli haikuwa na mafuta akawa ameirudisha mahali pake. “Ngoja tuizime eti!” nilizuga kuuliza wakati tayari nimeipiga pua. “Mjini ZECO huku mafuta safi sana!!!” nilijisemea baada ya giza kuchukua hatamu. Giza likachukua nafasi yake na ujasiri ukaongezeka maradufu aibu ikajificha hakika hiyo ndio ilikuwa nafasi ya kufanya uzinzi na Ashura . Ashura  alikuwa amelala na mimi nimekaa, taratibu mkono wangu ukapata kishawishi nikapapasa hadi nikatua kwenye mikono yake migumu, hata hakushtuka basi nikausogeza hadi kifuani pake nikasalimiana na mzigo wa titi moja nikalinganisha na matiti ya vitoto vya Kiunguja viwili. Nikaguna kisha nikendelea si unajua tamaa tena!!! “Jamani Shaibu kuna watu nje watatusikia, acha!!” alilalamika Ashura  nikacheka gizani kicheko cha kimya kimya nikayakariri maneno yake ‘watatusikia’ “Kumbe na yeye anajua kinachoendelea”, mi wala sikumjali nikapeleka na mkono wa pili weweeee! kifua kikubwa kama dari ya udongo, raha jamani dah! nikashangaa msimamo wangu wa kupenda chuchu ndogo ukianza kuyumbishwa na joto lililotoka pale ndani. Ulaini wake ukaitesa mikono yangu, uzito wake haukunisumbua!!! Ashura  akawa anahema kwa kasi nikatamani kupanda pale kitandani lakini nikahofia aibu ya kuporomoka kutoka katika kitanda kile cha kamba. Sikukiamini kabisa japo alikuwa amenambia awali kuwa kitanda kile walikuwa wanalala watu watatu wakati mwingine. Kwa jitihada nikamshusha hadi chini kwa kumbeba. Alikuwa mzito wewe!! Si alikuwa keshalegea!! Akiwa bado hoi nikaupeleka ulimi wangu masikioni mwake bila kujalisha ameyasafisha au la Ashura  akatoa milio ya mtu mwenye kifafa ambaye yupo katika hatua za mwisho kupoteza fahamu, nikautoa ulimi sikioni nikauhamishia kwenye shingo yake iliyokuwa na ladha ya chumvichumvi kutokana na jasho la kutwa nzima katika harakati za mazishi, hata sikuhofia chumvi hiyo kwani nimeshazamia chumvi kali kuliko hiyo tena si mara moja wala mbili, watoto wa Zenji si ndio burudani yao. Wamenifundisha tabia mbaya hao!!! “Mamaaaa mamaaaa” alipiga mayowe kwa nguvu, nikakurupuka pale lakini sikuweza kutoka alikuwa amenishikilia bila shaka alikuwa anataka huduma yangu. Nilijivuta ili nitoke lakini wapi Ashura  sijui hata alikuwa amezitoa wapi nguvu zile. “Acha kulia Ashura  eeh” nilibembeleza kwa uoga, lakini Ashura  aliendelea kulalamika kwa sauti ya juu, kelele zilifika hadi nje, hofu ikanitawala sana nilikuwa naenda kuaibika msibani sasa mtoto wa kiume mie. Watu wakaanza kulia huko nje wakiamini Ashura  anamlilia marehemu babu yake. Laiti kama wangejua chanzo cha ya kilio chake nadhani pangekuwa hapatoshi. “Jamani Ashura  ukilia utakuwa unakufuru sasa imetosha tumwombee marehemu ALAZWE PEMA PEPONI” nilizungumza hayo kwa sauti ya juu huku nikitoka nje nikimuacha Ashura  akiwa ndani analia kwa uhitaji tayari alikuwa ameiondoa kanga yake akabakia na mchupi mkubwa uliokuwa umelegea kiunoni au puru kama ambavyo tuzoeya kuyaita machupi ya kushona, watu wakaingia kumbembeleza baada ya kuwa wamesikia maneno yangu yaliyowachoma. Mimi tayari nilikuwa nje, hamu zote zikiwa zimeniisha. Sikuamini nimekwepa aibu hiyo japokuwa nilishindwa kutimiza lengo langu la kumfaidi Ashura .Kesho yake nikaondoka asubuhi na mapema kurudi zangu mjini na kurudi tena hapo kijijini sikutamani tena kwa kipindi hichi. Maana waliyoyakuta huko ndani walijua wao wenyewe mie sitaki kujua.
MWISHO

RATIBA YA WIKIENDI HII - LIGI KUU ENGLAND

[Saa za Bongo]
Jumamosi Februari 22
1545 Chelsea v Everton
1800 Arsenal v Sunderland
1800 Cardiff v Hull
1800 Man City v Stoke
1800 West Brom v Fulham
1800 West Ham v Southampton
2030 Crystal Palace v Man United
Jumapili Februari 23
1630 Liverpool v Swansea
1630 Newcastle v Aston Villa
1900 Norwich v Tottenham

Tuesday, February 18, 2014

"SASA TUNAKUJA" - JUAN MATA

JUAN_MATA-AON_JERSEY
JUAN MATA anaamini kuwa Manchester United itamaliza Ligi Kuu England Msimu huu ilikwemo 4 Bora na hivyo kufuzu kucheza UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI Msimu ujao.
Kwa sasa, Man United, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa England, wapo Nafasi ya 7 wakiwa Pointi 11 nyuma ya Liverpool ambao wapo Nafasi ya 4 ambayo ndio ya mwisho kwa Timu kuchezea UCL Msimu ujao.
Lakini Juan Mata, Mchezaji wa Kimataifa wa Mabingwa wa Dunia Spain aliehamia Man United kutoka Chelsea Mwezi Januari kwa Dau la Rekodi ya Klabu la Pauni Milioni 37.1,
amesisitiza Kikosi chao kinachocheza chini ya Meneja David Moyes ni kizuri kushindana na Klabu yeyote huko England.

MAN UNITED-Mechi hadi mwisho wa Msimu:
[Zote Ligi Kuu England isipokuwa inapotajwa]
Feb 22: Crystal Palace v Man United
Feb 25: Olympiakos v Man United [UCL]
Machi 8: West Brom v Man United
Machi 16: Man United v Liverpool
Machi 19: Man United v Olympiakos [UCL]
Machi 22: West Ham v Man United
Machi 25: Man United v Man City
Machi 29: Man United v Aston Villa
Apr 5: Newcastle v Man United
Apr 12: Man United v Hull
Apr 19: Everton v Man United
Apr 26: Man United v Norwich
Mei 3: Man United v Sunderland
Mei 11: Southampton v Man United
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Mata amesema: “Sasa tunakuja na nadhani tunaweza lakini inabidi tushinde Gemu nyingi! Lengo ni kufikia nafasi za UEFA CHAMPIONZ LIGI!”
Mata aliongeza: “Ni ngumu kwa sababu Liverpool wanafanya vyema, pia Arsenal, pamoja na Tottenham na Everton, wote wanapigania nafasi hizo lakini tunayo Timu ambayo inaweza kufanya hilo! Hii ni Manchester United. Klabu hii ikishinda Mechi mbili, tatu au nne ni kwa sababu ina fikra za ushindi!”
Akiongea kuhusu David Moyes, Mata, mwenye Miaka 25 na ambae yeye pamoja na Kikosi chote cha Man United walikuwa huko Dubai kwa Mazoezi ya Siku 5 kwenye Hali ya Joto, amesema: “Uhusiano wangu na yeye ni mzuri na wa kirafiki. Tangu Siku ya kwanza alionyesha ni Mtu mwema. Alinifanya nijisikie muhimu. Nilijisikia vyema aliponambia: ‘Juan, wewe ni muhimu kwa Timu na tunataka umiliki Mpira kila mara!’ na hilo ndio najaribu kufanya!”
Vile vile, Mata alisema Moyes ataleta Wachezaji wengine wakubwa mwishoni mwa Msimu ili kuiibua upya Klabu.
Mata ameeleza: “Meneja amesema kuwa atasaini Wachezaji. Klabu hii sasa ipo kwenye hatua ya mpito, ya mabadiliko, na Klabu hii lazima Wachezaji bora watakuja!”

BALANCED DIET KWA WAMAMA WAJAWAZITO

Photo: Balanced Diet For Pregnant Women

When you are pregnant you must always remember that what you eat make affect your unborn child and therefore having a balance diet is the need of the hour. Many pregnant women are not so focused on what they should eat and drink and they usually carry on with their regular lifestyle but that would only lead to more complications that can affect the health and mental status of the baby as well as the health of the pregnant mother. Hence, pregnant women should always look out for more information on balance diet for pregnant women so that they can always keep themselves and their baby in good condition.

Monday, February 17, 2014

KIPI KINAKUFANYA UJIAMINI - PESA AU UREMBO (UZURI) ?

It has been proven that most beautiful and attractive people are more likely to be successful and be loved, so chances are that attractive people are wealthier than ugly/normal people. In order to reach higher personal/professional goals, you need to have confidence. So I would say beauty comes first

On the other side

Because beauty can get you money, but money cannot get you beauty, despite how much people try.

You could argue therefore, and I think some people will, that since money can be earned and beauty cannot, having money should earn you more honour, and give you more pride, but remember, pride is not the same as confidence.  

UPI MTAZAMO WAKO...!!

YAJUE MARADHI YA PUMU (ASTHMA) - 2

"Daktari nisaidie, nakufa mie" Wagonjwa wengi husema wanapoingia chumba cha daktari, wakiongea kwa taabu sana, huku wakipumua kwa taabu na mlio kama wa filimbi ukisikika. Madaktari huuliza maswali machache na kugundua ni PUMU.
PUMU ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingia na kutoa hewa katika mapafu. Upatapo ugonjwa wa pumu, kuta za ndani za njia ya hewa huvimba na hivyo kupunguza kiasi cha hewa kinachoingia na kutoka kwenye mapafu. Hali hii husababisha muathirika kutoa mlio kama wa filimbi au mluzi wakati wa kupumua, kifua kubana, kushindwa kupumua vizuri na kukohoa. Watu wenye pumu hupatwa na dalili hizi mara nyingi nyakati za usiku na asubuhi sana.
Kulingana na takwimu za hivi karibuni, huathiri watu milioni 300 duniani kote na zaidi ya milioni 22 wakiwa Marekani peke yake.
Ingawa ugonjwa huu huathiri watu wa rika zote, lakini mara nyingi huanza utotoni, huathiri watoto milioni 6 nchini Marekani. Ugonjwa wa pumu huua watu 255,000 duniani kote kila mwaka.
AINA ZA PUMU
PUMU YA UTOTONI (Child-Onset Asthma)
Hii ni aina ya pumu inayotokea baada ya mtoto kuwa kwenye vizio kama vumbi la wadudu mfano mende, manyoya ya wanyama wa kufugwa kama paka na mbwa. Pumu hii hutokea kwa kuwa mwili wa mtoto hutengeneza kingamwili (Antibodies) za IgE zinazosababisha pumu.
Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa sugu uliopo sana kwa watoto waliozaliwa na uzito mdogo, wenye asili ya kiafrika, walio katika mazingira ya moshi pia waliolelewa latika mazingira ya dhiki/umaskini.
Watoto wengi huanza kuonyesha dalili wakikaribia miaka mitano. Huanza kama ugonjwa wa njia ya hewa kama mafua na kikohozi.
Watoto wa kiume wana hatari zaidi ya kupata pumu ikilinganishwa na watoto wa kike, ila hali hii huwa kinyume kipindi cha utu uzima.
Watafiti wanafikiri hali hizi huwapata watoto wa kiume zaidi kwa kuwa na njia za hewa nyembamba zaidi ikilinganishwa na njia za hewa za watoto wa kike. Hali hii hupelekea watoto wa kiume kuwa kwenye hatari zaidi wanapopatwa na maambukizi ya virusi mfano mafua.
PUMU YA UKUBWANI (Adult-Onset Asthma)
Pumu hii huanza baada ya kufika miaka 20. Pumu hii huathiri sana wanawake kuliko wanaume na pia haitokei sana kama pumu ya utotoni. Vizio pia husababisha aina hii ya pumu.
Inakadiriwa kuwa 50% ya pumu ya ukubwani husababishwa na vizio na aina hii ya pumu huitwa pumu ya ukubwani ya vizio ( Allergic adult-onset asthma). Na 50% haisababishwi na vizio (Allergens) nayo hujulikana kama pumu ya ukubwani isiyosababishwa na vizio (Non-allergic adult-onset asthma/Intrinsic asthma).
PUMU ITOKANAYO NA MAZOEZI (Exercise-induced asthma)
Ikiwa utakohoa na kukosa pumzi wakati wa mazoezi au baada ya mazoezi, inawezekana una pumu inayosababishwa na mazoezi. Ingawa kama sio mtu wa michezo kukimbia kwa kasi kwa angalau dakika 10 kunaweza kusanabisha kukosa pumzi na kukohoa. Ikiwa utakohoa na kukosa pumzi kwa muda mrefu basi hii itaonyesha una pumu inayosababishwa na michezo.
PUMU ITOKANAYO NA KUKOHOA (Cough-Induced Asthma)
Ni aina ngumu ya pumu kwa daktari kuweza kuigundua. Kwenye pumu hii inawezekana zisitokee dalili zingine zaidi ya kukohoa. Madaktari hulazimika kuchunguza sababu zingine za kukohoa sana na kuhakikisha sio zinazosababisha kukohoa huko.
PUMU ITOKANAYO NA KAZI (Occupational Asthma)
Aina hii ya pumu humtokea mtu akiwa mahali pake pa kazi. Huwatokea sana watumishi wa viwandani ambapo kuna kemikali, moshi na gesi (Nitrogen oxide) zinazoweza kuamsha pumu.
PUMU YA USIKU (Nocturnal Asthma)
Pumu hii hutokea kati ya saa 6 usiku na saa 2 asubuhi. Pumu hii huamshwa na vumbi, halufu kali kama za rangi ya nyumba na halufu ya vinyesi vya wanyama wa kufugwa. Mara nyingi wagonjwa hushtuka usingizini wakati wa usiku wa maanani baada ya kukosa pumzi.
PUMU KALI/PUMU ISIYOKUBALI STEROIDI (Severe Asthma/Steroidal-Resistant Asthma)
Wakati wagonjwa wengi wa pumu hupata nafuu baada ya matumizi ya steroidi, wachache hawapati nafuu. Hivyo wagonjwa hawa huhitaji matababu bora zaidi ya matibabu ya kawaida.
NINI HUSABABISHA PUMU?
Visababishi vya pumu havijulikani waziwazi, ingawa vitu vinavyoongeza hatari ya kupata pumu ni vizio mfano moshi, harufu, gesi na kemikali.
Kila mgonjwa wa pumu ana mzio. Zaidi ya 25% ya watu hupatwa na mafua yasababishwayo na mzio (Hay fever/Allergic rhinitis) na kuwashwa macho (Allergic conjuctivitis) pia wanaweza kupata pumu.
Mzio unaweza sababishwa na kingamwili (Antibodies) zilizo ndani ya damu zinazopelekea njia ya hewa kuvimba na kusababisha pumu.
Vizio vinasababisha sana pumu ni kama moshi, vumbi kutoka kwenye manyoya ya wanyama kama paka na mbwa, wadudu kama mende na halufu kali kama za manukato.
Moshi wa sigara unahusishwa sana na hatari ya kupata pumu pia hatari zaidi ya kufa kwa pumu. Watoto wa wazazi wanaovuta sigara wapo katika hatari ya kupata pumu. Pia watu wazima wanaovuta sigara wapo katika hatari ya kupata pumu.
Sababu zingine za kimazingira kama halufu (Marashi) inayosababishwa na vitu vya kusafishia nyumba pamoja na rangi za nyumba, hewa itokanayo na majiko ya gesi (Nitrogen oxide).
Uchafuzi wa mazingira kutokana na gesi (Sulfur dioxide, Nitrogen oxide) pia mazingira ya baridi huamsha ugonjwa wa pumu. Vitu hivi husababisha njia za hewa kusinyaa na kusababisha matatizo ya kupumua.
Watu wazima wenye uzito unaozidi kimo chao yaani wenye Body Mass Index (BMI) kati ya 25 na 30 wanaweza kupata pumu kwa 38% ikilinganishwa na watu wazima wenye uzito wa kawaida. Watu wanene zaidi wenye BMI ya 30 au zaidi wapo katika hatari mara mbili.
Watoto waliozaliwa kwa njia ya upasuaji wana hatari ya kupata pumu kwa 20% ikilinganishwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya kawaida. Pia wajawazito wanaovuta sigara hupunguza utendaji wa mfumo wa hewa wa mtoto aliye tumboni hivyo huongeza hatari ya mtoto kupata pumu. Utafiti umeonyesha pia mtoto aliyezaliwa na uzito mdogo yupo kwenye hatari ya kupata pumu pia.
Watu walio na msongo wa mawazo (Stress) wapo katika hatari kubwa ya kupata pumu kwa kuwa watu wengi wenye msongo wa mawazo hujaribu kujituliza kwa kutumia vileo na kuvuta tumbaku hivyo kuongeza uwezekano wa kupata pumu. Ingawa utafiti wa hivi karibuni umegundua mfumo wa kingamwili hubadirika kutokana na msongo wa mawazo (Stress) kitu kinachoweza kusababisha kutengenezwa kwa kingamwili (Antibodies) za igE zinazosababisha pumu.
Chembe za urithi pia huhusianishwa na ugonjwa wa pumu. Kuna chembe za urithi 100 zinazohusianishwa na pumu. Uwezekano wa kupata pumu kutokana na lurithi kwa wazazi ni 3 ya 5. Taasisi za kudhibiti magonjwa ya Marekani (The Centers for Disease Control USA) zinasema kuwa na wazazi wenye pumu huongeza hatari ya mtoto kupata pumu pia mara 3 hadi 6.
Tatizo la ngozi linalosababishwa na mzio/allergy (Eczema/Atopic dermatitis). Watoto 40% hadi 50% wenye tatizo hili hupatwa na pumu na inawezekana wenye tatizo hili hubanwa na pumu ya mara kwa mara.
DALILI ZA PUMU
Sio watu wote wenye pumu huwa na dalili hizi. Vilevile kuwa na dalili hizi hakumaanishi una ugonjwa wa pumu.
=> Kukohoa. Kikohozi kinachotokana na pumu huwa kinakuwa kikali sana hasa wakati wa usoku au asubuhi sana.
=> Kutoa sauti kama filimbi au mluzi wakati wa kupumua.
=> Kubanwa kifua. Mgonjwa huhisi kama kifua kinabanwa na kitu au kuna kitu kizito kimewekwa juu ya kifua.
=>Kupungukiwa na pumzi. Wagonjwa wenye pumu huhisi pumzi imekosekana, zaidi inakuwa ni ngumu kutoa pumzi kutoka katika mapafu.=
JINSI YA KUTIBU & KUDHIBITI PUMU
Pumu ni ugonjwa sugu usiotibika ila unaweza kudhinitiwa. Ili kudhibiti ugonjwa huu, uhusiano mzuri kati ya mgonjwa na daktari unahitajika sana.
Ili kudhibiti yafuatayo huhusishwa :-
=> Kuzuia dalili hatari kama kukohoa na kupungukiwa na pumzi.
=> Kupunguza uhitaji wa dawa za kutuliza maumivu haraka kama Aspirin
=> Kufanya kazi kwa kiasi na kulala vizuri wakati wa usiku.

- See more at: http://www.fikrapevu.com/mambo-muhimu-ya-kufahamu-juu-ya-pumu-asthma-na-matibabu-yake/#sthash.LMU827X6.dpuf

  • World News

    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger