Headlines News :

Tuesday, October 30, 2012

MSANII MEYA KUFANYA KAZI NA AKI NA UKWA

MEYA KUFANYA KAZI NA CHINEDU

Msanii anayefahamika kwa jina la Meya Shabani almaarufu kama Aki wa Bongo anafanya mipango ya kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria Nollywood, Chinedu na Osita.  katika mazungumzo hayo Meya alisema kwamba wasanii hawa wawili wanaweza wakaja hapa Tzee japokuwa ndiyo wapo katika mazungumzo na wasanii mbalimbai wa Tz ili wapate ushauri katika kufikisha malengo yao ya kufanya kazi na wasanii kutoka Nigeria.
  • World News

     
    Support : Blog designer | Blogger | Developer | | KakyteeMedia.InC
    Copyright © 2011. Kakytee.com - All Rights Reserved
    Template Modified by KakyteeMedia
    Proudly powered by Blogger